Post hii inahusu zaidi dawa za Doxorubicin and Daunorubicin katika kupambana na kansa.
1. Hizi ni dawa ambazo zimo kwenye kundi la antitumor antibiotics ,ni dawa ambazo zinatokana na material kutoka kwenye fungi wanaotokana na udongo ufanya kazi kwa kuingilia kazi za seli kwa kuzuia kuendelea kwa kazi ya nuclear ambayo kwa kitaalamu huitwa DNA na pia dawa hizi uingilia protein ya DNA kwa kufanya hivyo seli ambazo hazihiitajiki kuzuiliwa kuendelea kukua na kuongezeka kwenye mwili.
2. Dawa hizi pia usaidia kwenye matibabu ya kansa ya damu, kansa ya kwenye tumbo, kansa ya ngozi na pia kansa kwenye milango ya fahamu yaani kwenye macho, pua na sehemu mbalimbali na pia usaidia usaidia kwenye kupambana na kansa ambazo usababisha uvimbe.
3. Kwa matumizi ya dawa hizi uweza kuleta pia maudhui madogo madogo kama vile kupungua kwa kiwango cha seli mwilini,kwa sababu dawa hizi zinapokuwa zinapambana na seli ambazo hazihiitajiki usababisha kuua na seli nyingine ambazo ziko nzima hali inayosababisha kupungua kwa seli mwilini, kwa hiyo matunzo kwa mgonjwa huyu ni ya muhimu kama vile ulaji wa mlo kamili,matunda na mbogamboga za majani.
4. Pia na maudhui mengine ni kama vile kuwepo kwa vidonda kwenye midomo, mabadiliko ya ngozi yaani kuwepo kwa upele na kwa upande wa kichwani nywele uanza kunyonyoka na pia kuna wagonjwa ambao wanaweza kuwa na choo kigumu, pengine kichefuchefu na kuharisha. Kama maudhi madogo madogo yanafanya hali ya mgonjwa kuwa mbaya ni vizuri kabisa kubadilisha dawa ili mgonjwa awe na hali ya kawaida.
5. Kwa hiyo dawa hizi hazitumiki kiholela bali ni kwa maagizo ya wataalamu wa kwa sababu matokeo ya dawa hizi mengine ni makali yanahitaji uangalizi.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi dawa ya Albendazole katika kutibu Minyoo, ni Aina mojawapo ya dawa ambayo usaidia kutibu Minyoo inayosababishwa na bakteria mbalimbali.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi aina mojawapo ya dawa ya penicillin ambayo ufanya kazi kwa mda mrefu, dawa hii kwa kitaamu huiitwa procaine benzyl penicillin.
Soma Zaidi...Usisumbuliwe tene na fangasi ukeni, zijuwe hapa dalili za fangasi ukeni, tiba yake na njia za kukabiliana na fangasi ukeni
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dawa ya lsoniazid nA kazi zake, ni dawa ambayo inasaidia kutibu kifua kikuu kati ya madawa yaliyoteuliwa na kuwa na sifa ya kutibu kifua kikuu.
Soma Zaidi...Maumivu ya mgongo hutokea sana kwa wajawazito. Ijapokuwa ni hali ya usumbufu sana ila hakikisha hautumii madawa kiholela kutoka maduka ya dawa ama miti shamba. Kwani ukikisea kidogobinawezabhatarisha afya ya mtoto
Soma Zaidi...Nini kinasababisha maumivu ya tumbo chini ya kitovu?
Soma Zaidi...Post hii inahusu dawa ya kaoline katika kutibu au kuzuia kuharisha ni dawa ambayo imependekezwa kutumiwa hasa kwa wale walioshindwa kutumia dawa ya loperamide.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi matumizi ya dawa za vidonda vya tumbo, ili kuweza kutumia dawa hizi ni vizuri kabisa kufuata mashariti kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...