Presha ya kushuka/hypotension
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu presha ya kushuka/ hypotension
RPESHA YA KUSHUKA (HYPOTENION)
Presha ya kushuka ama kitaalamu huitwa hypotension, presha ya kushuka ni hatari kwa afya kama ilivyo presha ya kupanda, maana mwili unakosa nguvu kabisa. Kama ilivyo presha ya kushuka presha ya kupanda unaweza kuizuia ana kujilinda nayo kwa kula vyakula salama.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
π1 web hosting π2 ai web app π3 kitabu cha Simulizi π4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) π5 Bongolite - Game zone - Play free game π6 Madrasa kiganjani
Post zinazofanana:
Dalili za maambukizi kwenye figo
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Maambukizi kwenye figo (pyelonephritis) ni aina mahususi ya maambukizi ya njia ya mkojo (UTI) ambayo kwa kawaida huanza kwenye urethra au kibofu chako na kusafiri hadi kwenye figo zako.
Soma Zaidi...Dalili za moyo kutanuka
Posti hii inahusu zaidi dalili mbalimbali ambazo zinaweza kujitokeza na kuonyesha kwamba moyo umetanuka.
Soma Zaidi...Fangasi watambulikao kama invasive candidiasis
Hawa huweza kuingia kwenye mfumo wa damu na kuenda maeneo mengine nyeti sana ya mwili.
Soma Zaidi...Dalili za vidonda vya tumbo
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za vidonda vya tumbo
Soma Zaidi...Vyakula Bora kwa Mtoto Anayekua
βLishe sahihi ni msingi mkuu wa ukuaji wa mtoto kimwili na kiakili. Makala haya yataangazia vyakula muhimu vinavyopaswa kuwemo katika mlo wa mtoto, jinsi ya kuandaa mlo kamili, na ukweli wa kisayansi kuhusu virutubisho vinavyohitajika katika kila hatua ya ukuaji.
Soma Zaidi...Faida za kufanya mazoezi kila siku
βKatika somo hili, tunaangazia jinsi mazoezi ya kila siku yanavyochangia katika kuimarisha mfumo wa moyo, kudhibiti uzito, kuboresha afya ya akili, na kuongeza nguvu ya mwili. Tunaeleza faida hizi kulingana na ushahidi wa kisayansi na kutoa mwongozo mfupi wa jinsi ya kuanza mazoezi ili kupata matokeo bora
Soma Zaidi...