Maswali kuhusu Quran

Quran (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)

Zoezi la 5.

  1. (a)  Orodhesha majina matano ya Qur’an unayoyafahamu.

(b)  Kwa kutumia ushahidi wa aya, onyesha kuwa Qur’an ilishushwa katika usiku Mtukufu wenye cheo.

  1. (a)  Eleza hatua mbili za kushushwa Qur’an.

(b)  Fafanua hatua zilizotumika katika kuihifadhi Qur’an wakati Mtume (s.a.w).

  1. Onyesha hekima ya Qur’an kushushwa kidogo kidogo na hatua kwa hatua.
  2. Andika tafsiri ya Suratul-Lahab, kisha toa mafunzo yake kwa muhtasari.
  3. ‘Nusura ya Mwenyezi Mungu inapokuja watu huingia katika Uislamu makundi kwa makundi’. Toa ushahidi huu kwa kurejea historia ya Mtume (s.a.w) alipokuwa mji wa Makkah na Madinah.
  4. Kwa kurejea Suratul-Kafiruun, eleza kwa ufupi mafunzo yatokanayo na sura hiyo. 
  5. “Adhabu kali itawathubutikia wale wanao swali, (Wale) ambao wanapuuza swala zao…..” (107:4-5). 

       Kwa mujibu wa aya hii, onyesha jinsi waislamu wa leo wanavyopuuza swala zao.

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Sira Main: Dini File: Download PDF Views 2331

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
πŸ‘‰1 Bongolite - Game zone - Play free game    πŸ‘‰2 Madrasa kiganjani    πŸ‘‰3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    πŸ‘‰4 kitabu cha Simulizi    πŸ‘‰5 Simulizi za Hadithi Audio    πŸ‘‰6 Kitabu cha Afya   

Post zinazofanana: