Vijuwe virutubisho vilivyomo kwenye parachichi.

Posti hii inahusu zaidi virutubisho vilivyomo kwenye parachichi, tunajua sana kuwa parachichi ina virutubisho vingi ambavyo vinaweza kuleta faida nyingi kwenye mwili kama yalivyo matunda na vyakula vingine.

Virutubisho vilivyomo kwenye parachichi.

1. Parachichi lina kiasi kikubwa cha Kalori 240  ila 184 inatokana na mafuta kwa hiyo hicho ni kiwango kikubwa cha Kalori.

 

2. Pia parachichi lina kiwango kikubwa cha sodium ambacho ni milligram kumi na moja za sodium ambazo ziko kwenye parachichi.

 

3. Pia parachichi lina kiwango cha wanga ambacho kimo ndani yake ni milligram kumi na tatu za wanga ambazo zimo kwenye parachichi.

 

4. Vile vile parachichi lina gram kumi za nyuzi nyuzi za lishe kwa hiyo hicho ni kiasi kikubwa sana kwa parachichi.

 

5. Pia parachichi lina kiasi cha sukari .

Kwa hiyo sukari ambayo imo kwenye parachichi ni kiasi cha gram moja tu ya sukari.

 

6. Kwenye parachichi kuna vitamini C ambavyo ni asilimia kumi na saba, pia vitamini E ni asilimia kumi na kuna vitamini B3 na vitamini B6 ambapo vitamini B5 ni asilimia kumi na nne na vitami B6 ni asilimia kumi na tatu.

 

7.pia parachichi lina kiwango cha madini ambayo ni madini ya potassium ambayo ni asilimia kumi na nne,  pia kuna aina ya asidi inayoitwa folate asidi ambayo ina asilimia ishirini.

 

8. Kwa hiyo tunaona parachichi lilivyo na vitu vingi uko ni tunda moja kwa hiyo tunapaswa kulitumia sana ili tuweze kupata vitamini na madini yaliyomo.Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/03/08/Tuesday - 02:26:15 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1262


Download our Apps
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-