Changamoto kubwa za tendo la ndoa kwa wanaume

Posti hii inahusu zaidi changamoto ya tendo la ndoa kwa wanaume,wanaume wamekuwa wakipata changamoto ya tendo la ndoa na kuwafanya kushindwa kujiamini na kukosa kabisa raha kwenye maisha yao

Changamoto kubwa ya tendo la ndoa kwa wanaume.

1. Tatizo la kwanza ni kuwahi kufika kileleni ndani ya dakika moja, hili ni tatizo kubwa kwa sababu mwanaume hapaswi kuwahi mapema hivyo kwa sababu anapaswa kumrithisha mke wake kwa hali hiyo mwanaume ujionea aibu na kushindwa kujiamini kwa sababu ya kitendo cha kuwahi kufika kileleni mapema  kwa hiyo hali hii umnyima raha mwanaume na kujihisi hatimizi wajibu wake kwa mwenziwe.

 

2.  Tatizo jingine ni lile la kutokuwa na uwezo wa kurudia tendo baada ya kufika kileleni.

Kuna wanaume wengine wana uwezo kabisa wa kufika kileleni lakini cha ajabu ni kwamba baada ya kufika kileleni hana uwezo tena wa kurudia tendo hali hiyo imefanya wanaume wengi kujiona hawafai na kuchukua hatua za kutafuta madawa ya kuwasaidia wakati wa kufanya tendo.

 

3. Kutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume mpaka matumizi ya ku boost yawepo.

Kuna wanaume wengine na wako kwenye umri mdogo tu hawana uwezo wa kusimamisha uume kabisa mpaka watumie dawa za kusimamisha uume kwa hiyo hali hiyo uwafanya wanaume kujihisi kuwa hawana dhamani kwenye jamii au kwenye ndoa zao, hali inayosababisha ndoa nyingi kuvunjika kwa sababu ya kutokuwepo hali ya kuridhishana.

 

4. Tatizo jingine ni kuchoka sana baada ya kufika kileleni. Kuna wanaume wengine wanachoka sana wakimaliza kufika kileleni na hawana uwezo wa kuendelea na tendo kabisa hali hii Usababisha wanaume wengi kutojiamini kwa sababu ya kukusa kumalizia tendo, kwa hiyo ni vizuri kabisa kuja tatizo na kuweza kufanyia kazi.

 

5. Kwa sababu ya kuwepo kwa matatizo haya kwa wanaume usababisha ndoa nyingi kuvunjika kwa sababu ya kutoridhishana wakati wa tendo au kwa mara nyingine wanaume uziacha familia zao kwa sababu ya kujihisi vibaya au pengine wanawake wanaongeza spidi ya kuchepuka ili kuweza kupata faraja kwa wanaume wengine kwa hiyo basi matibabu ni lazima ili kuweza kutibu tatizo hili kwa wanaume wengi walio na tatizo.



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/09/Saturday - 01:28:49 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1467


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitabu cha Afya    

Post zifazofanana:-