picha
HUKUMU YA KUKUSANYIKA KWENYE DUA NA UMUHIMU WA DUA YA WATU WENGI

Post hii inakwenda kukufundisha kuhusu umuhimu wa kukusanyika katika kuomba dua.

picha
MATAMSHI AMBAYO UKIMWAMBIA ALLAH KWENYE DUA YAKO BASI HUJIBIWA KWA HARAKA DUA HIYO

Post hii inakwenda kukufundisha matamshi ambayo mtu akiyatamka Allah hujibu dua hiyo kwa urahisi.

picha
HALI AMBAZO AKIWA NAZO MWENYE KUOMBA DUA DUA YAKE HUJIBIWA

Post hii inakwenda kukifundisha nibhali zipi ukiwa nazo, basi dua yako kuhubaliwa kwa urahisi.

picha
ZIJUWE NYAKATI AMBAZO UKIOMBA DUA HUJIBIWA KWA URAHISI

Post hii inakwenda kukugundisha ni nyakati zipi ambazo Allah hukubali dua kwa urahisi.

picha
MASHARTI YA KUKUBALIWA KWA DUA

Post hii itakwenda kukugundisha masharti yanayofungamana na kukubaliwa kwa dua.

picha
ADABU ZA KUOMBA DUA KUIFANYA DUA YAKO IKUBALIWE KWA HARAKA

Post hii inakwenda kukugundisha adabu zinazotakikana kwa mwenye kuomba dua.

picha
MAANA YA DUA NA FADHILA ZAKE

Dua ni moja ya Ibada ambazo tunatakiwa kuziganya kila siku. Kuna fadhila nyingi sana za kuomba dua. Post hiibitakwenda...

picha
UMUHIMU WA KUTUMIA DAWA ZA ARV

Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa kutumia dawa za ARV kwa wathirika wa virusi vya ukimwi .pia tutangalia kwa undani...

picha
UJUWE UGONJWA WA EBOLA, DALILI ZAKE NA JINSI UNAVYOWEZA KUSAMBAZWA.

Posti hii inahusu sana kuhusu ugonjwa wa ebora. Ugonjwa huu usababishwa na virusi.Virusi hivyo husababisha kutokwa na damu nyingi mwilini...

picha
JE?WAJUA NJIA SAFI NA KANUNI ZA KUWEKA MWILI WAKO KWENYE AFYA NZURI?

Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa usafi katika maisha ya mwanadamu au mwili wa binadamu.

picha
NJIA YA KUJIKINGA NA UGONJWA WA VIRUSI VYA VYA UKIMWI NA ATHARI ZAKE

Posti hii inahusisha maambukizi ya virusi vya ukimwi .pia  tutangalia  njia za kujikinga na  ugonjwa wa UKIMWI

picha
UKUAJI WA MMEA

Je wajua kwa nini mmea kama nyasi na miti hukua? Posti hii inahusu  zaidi ukuaji wa mimea katika mazingira yetu...

picha
JINSI YA KUTOA HUDUMA YA KWANZA KULINGANA NA TATIZO

Posti hii inahusu sana mambo ya huduma ya kwanza ambayo huduma ya kwanza inapatikana au inatolewa na mtu yeyote katika...

picha
HASARA ZA KITUNGUU SWAUMU WAKATI WA UJAUZITO

Posti hii inahusu zaidi hasara za kitunguu swaumu wakati wa ujauzito.

picha
FAIDA ZA KITUNGUU SWAUMU WAKATI WA UJAUZITO

Posti hii inahusu zaidi faida za kitunguu swaumu wakati wa ujauzito, kuna kipindi ambacho wanawake wakati wa ujauzito uchaguza vyakula...

picha
MBOGA AMBAZO ZIMEKUWA KUWEKA KIWANGO CHA SUKARI JUWA SAWA

Posti hii inahusu zaidi mboga mboga za majani ambazo zinaweza kuweka sukari kwenye kiwango cha kawaida.

picha
MADHARA YA KUTUMIA TISSUE AU TOILET PAPER

Post hii inahusu zaidi madhara ambayo tunaweza kuyapata katika matumizi ya toilet paper au tisu kwenye sehemu za siri.

picha
FAIDA ZA KULA KACHUMBARI

Posti hii inahusu zaidi faida mbalimbali ambazo anaweza kuzipata mtu anayetumia kachumbari, tunajua wazi kwamba kachumbari ni mchanganyiko wa nyanya,...

picha
HADITHI KATIKA KIJIJI CHA BURUGO

 Posti hii inahusu zaidi jinsi ya watu walivyoishi katika kijiji cha burugo .tunajuwa hadithi ni sehemu mojawapo ya kubirudisha na...

picha
JINSI MIMBA INAVYOTUNGWA NA NAMNA AMBAVYO JINSIA YA MTOTO INAVYOTOKEA

Posti hii hasa inahusu kasoro ,utatuzi,na jinsi ya kutunga mimba kwa upande wa mwanamke na mwanaume  .itatupelekea jinsi ya kuangalia...

picha
FAHAMU MTINDO MZURI WA MAISHA

Postei hizi inahusu zaidi mtindo mzuri wa maisha, yaani mtu ale ki vipi au afanyeni nini ili kuweza kuboresha afya...

picha
MADHARA YA VYAKULA VYA KISASA

Posti hii inahusu zaidi madhara ya kuwepo kwa vyakula vya kisasa, vyakula vya kisasa ni vyakula vya madukani ambavyo vimetengenezwa...

picha
FAIDA ZA VYAKULA VYA ASILI

Posti hii inahusu zaidi faida za matumizi ya vyakula vya asili, kama tunavyojua kwamba mababu na mabibi zetu walitumia vyakula...

picha
MADHARA YA MTOTO KUZALIWA AKIWA NA UZITO MKUBWA

Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kama mtoto alizaliwa na uzito mkubwa.

Page 148 of 229

Kuhusu Bongoclass

image

Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.