Posti hii inahusu sana kuhusu ugonjwa wa ebora. Ugonjwa huu usababishwa na virusi.Virusi hivyo husababisha kutokwa na damu nyingi mwilini kutokana na kupasuka kwa mishipa ya damu
Njia za maambukizi ya ebola.
1.Kama tulivyoeleza apo juu kuhusu huu ugonjwa.unaosababishwa na virusi,.ugonjwa huunhuenea kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine kwa njia ya kugusana majimaji ya mwili.majimaji ya mwilini ni kama mate,damu,mkojo,jacho,kamado,na jasho.vilevile ,kujamiana na mtu mwenye virusi vya ebola huleta maambukizi .pia,kugusa taka ngumu au maji taka yaliyotokana na kumhudumia mgonjwa wa ebola ni njia mojawapo ya maambukizi .pia,kugusa maiti ya mtu aliyekufa kwa ugonjwa huu.kugusa wanyama (mizoga na wanyama hai)walioambukizwa kama vile sokwe,popo na swala wa msituni hueneza ugonjwa huu.
Dalili za ebola.
Kulinganisha na hapo awali tulivyosema kuhusu ebola.dalili za ugonjwa wa ebola huanza kuonekana kwa mtu aliyeambukizwa baada ya siku mbili hadi 21 tangu kupata maambukizi.dalili za awali za ugonjwa wa ebola ni pamoja na joma kali ya ghafla,uchovu wa mwili,vidonda vya koo,maumivu ya kichwa,tumbo,misuli na viungo vingine.
2.dalili ya pili ni mtu kuwa na iichefuchefu.hii ni mojawapo ya dalili ya ugonjwa wa ebola ambapo mgonjwa anakuwa na kichefuchefu anahisi kutapika.pia mgonjwa huyu wa ebola akiona amekuwa na dalili hio afike haraka kituo cha afya ili asiweze kusambaza huo ugonjwa kwa watu wote .pia ukimgundua mgonjwa ana mojawapo ya hii dalili epuka kukaa nae karibu sana sababu .endapo atapiga chafya alafu na ww uko karibu yake utaweza kupata huu ugonjwa vilevile tulivyosema mwanzo epuka kushika kumgusa mgonjwa wa ebola.
3.kuharisha. hii pia mojawapo ya dalili ya ugonjwa wa ebola .endapo mtu ukiwa na hii dalili wahi kituo cha huduma ili uweze kupata matibabu mapema.pia mgonjwa wa ebola uweza kuharisha kwa mda mrefu mara kwa mara .pia ukiharisha inakuwa unapoteza wingi wa maji mwilini inapelekea virusi vya ebola kushambulia sana sehemu ya seli ndani ya mwili.
4.kupatwa na homa kali.hii ni mojawapo ya dalili ya ugonjwa wa ebola.mgonjwa endapo utapatwa na dalili hii wahi mapema kituo cha afya ili uweze kupata matibabu.ingawa homa ya mara kwa mara ni dalili ambayo ipo kwa magonjwa mengi lakini wewe ukijisikia una dalili hizi wahi kituo cha afya iwezekanavyo .
5.kuvuja damu kwenye pia.kulingana na tulivyoeleza apo mwanzo .kuhusu huu ugonjwa wa ebola kuwa ni tishio sana .miongoni mwao dalili nyingine uwepo au utokwaji wa damu puani .mgonjwa anatokwa na damu nyingi puani pale anapokuwa amepata huu ugonjwa wa ebola.poa kama muhuguzi wa kumsaidia mgonjwa huyu marufuku kumshika mgonjwa wa ebola.lazima uwe umevaa glavu .ambazo uitaukinga na huo ugonjwa .na mhuguzi lazima awe amejifunika sehemu zote za mwili wake. Pia kulingana na damu kuvuja puani inabidi muhuguzi.aweze kutafuta kitambaa safi na salama kwa ajili ya kuzuia damu zisizoke kwa wingi kwa uyo mgonjwa uku akiwa amejiziba sehemu zake zote za mwili.
6.damu kutoka mdomoni.hii ni mojawapo ya dalili ya ebola.kwamba mgonjwa wa ebola damu nyingi hutokea mdomoni .ambapo huweza kumpelekea kupoteza maisha kama hatiweza kumuwaisha hospitalini iwezekanavyo .kama tulivyosema hawali kwamba marufuku kumshika huyu mgonjwa wa ebola .
7.damu kutoka masikioni.kama tulivyoona dalili zingine app awali.na pia hii ni miongoni mwao dalili za ugonjwa wa ebola fika kituo cha huduma kwa mda ipasavyo.ukiangalia ugonjwa huu uweza kupitisha damu kwenye sehemu za binadamu zilizo wazi kama tulivyoona apo mwanzo.kama .mdomo,pua ,masikio,sehemu,ya aja kubwa
Pia kutokana na hilo ugonjwa wa ebola athari mojawapo husababisha figo na ini kushindwa kufanya kazi .vilevile ,mara nyingi husababisha kifo .
Kwahiyo ugonjwa wa ebola unadhibitiwa kwa njia ya watu kupatiwa chanjo.Epuka kuwagusa wanyama kama nyani au popo .kwani wanaweza kuwa wamehathirika na ugonjwa huu.pia epuka kula nyama za wanyamapori.ugonjwa wa ebola unapotokea inashauriwa kuvaaa mavazi rasmi ya kujikinga .pia usimguse mtu aliyeathirika na ebola . Hakikisha ,unanawa mikono kila baada ya shughuli yoyote kwa kutumia sabuni,maji safi na uzumie taulo safi kujikausha
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Kupata kitabu hiki download faili la PDF hapo chini na usome bila ya internet.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya athari zinazoweza kutokea endapo minyoo haitotibiwa
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi vyanzo vya kuwepo kwa kiungulia, kiungulia ni kitendo cha kupanda kwa gesi kutoka kwenye tumbo mpaka kwenye mdomo,hali uwasumbua wengi na kusababisha hali isiyo rafiki.
Soma Zaidi...Uchovu wa joto ni hali ambayo dalili zake zinaweza kujumuisha kutokwa na jasho kubwa na mapigo ya haraka, ambayo ni matokeo ya joto la mwili wako. Ni mojawapo ya magonjwa matatu yanayohusiana na joto, huku tumbo la joto likiwa kali zaidi na Kihar
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili za kansa, ni dalili ambazo utokea kwa mtu Mwenye tatizo la ugonjwa wa Kansa ingawa sio lazima dalili hizi kutokea tukadhani kuwa ni Kansa Ila zilizonyingi huwa ni kweli dalili za kansa.
Soma Zaidi...Fangasi hawa kitaalamu wanafahamika kama vagina yeast infection na majina mengine ya kitaalamu ni kama vagina candidiasis, u vulvovaginal candidiasis au candidal vaginitis.
Soma Zaidi...Anataka kujuwa dalili za awali za kujuwa kuwa umeathirika na UKIMWI
Soma Zaidi...