Posti hii inahusu sana mambo ya huduma ya kwanza ambayo huduma ya kwanza inapatikana au inatolewa na mtu yeyote katika jamii .
Huduma ya kwanza kwa mtu anayetapika
Ikilinganishwa na hapo mwanzo tulivyosema kuwa huduma ya kwanza inatolewa na mtu yeyote yule katika jamii husika tukiangalia huduma ya kwanza kwa mtu anayetapika kuna bahadhi ya sababu zinazopelekea mpaka kutapika labda kunywa maji machafu na kula chakula kichafu hii inakuwa inapelekea mtu kutapika miongoni mwao dalili zake ni.hali hii usababishwa maji na chumvi chumvi kupungua ndani ya mwili wake pia upelekea mwili kudhoofika na mgonjwa kukosa nguvu kabisa .pia mtu anayetapika inatakiwa kupewa huduma ya kwanza inayolenga kurudishia maji mwilini mwake .
hatua za kumsaidia mtu anayetapika.
1.muweke mgonjwa mahali safi na salama.
2.akikisha mgonjwa amekaa au kulala kwa ubavu ili kuzuia kupaliwa na matapishi.
3.mpe mgonjwa maji yenye mchanganyiko wa chumvi,sukari na juisi ya limau na tangawizi husaidia kuondoa kichefu chefu .
4. mpegonjwa maji ya matunda kwa wingi ili apate nguvu na kurejesha maji na chumvi chumvi zilizopotea mwilini.
5. Mpeleke mgonjwa hospitali haraka
Huduma ya kwanza kwa mtu anayeharisha. tumeona kuwa huduma ya kwanza inatolewa na mtu yoyote yule pia kutapika na kuharisha vinataka kushabiana lakini inatubidi tujifunze ili tujue mini cha kumfanya. Apa tunangalia zaidi kuharisha hupunguza maji mengi mwilini kwa kiasi kikubwa sana. Kama ilivyo kutapika sababu zinazoweza kumfanya mtu kuharisha ni kula chakula kichafu au kunywa vinywaji vichafu .
kupungua kwa maji mwilini hisababisha madhara makubwa kwa mgonjwa yakiwemo kuishiwa nguvu nyingi sana mwilini na hata kifo ila tumeona kwenye kutapika na kuharisha ni sawa na kitu kimoja kupoteza maji mengi mwilini adi vifo hivyo mtu mwenye matatizo haya anatakiwa apate huduma ya kwanza mapema sana iwezekanavyo ili kuokoa maisha yake apo badae .
Hatua za kumsaidia mtu anayeharisha
Muweke mgonjwa mahali pasafi na salama asa kwenye kivuli ambapo hakuna jua Mpe maji yenye mchanganyiko wa chumvi ,sukari na juisi ya limau .pia unaweza kumpa mgonjwa mchanganyiko mahalumu wenye chumvi na sukari unapopatikana dukani kwa ajili ya wagonjwa wenye matatizo ya kuharisha ata ukiweza kutengeneza wewe ni sawa ilimradi uwe mchanganyiko wa chumvi na sukari
Mpe mgonjwa juisi ya matunda na maji safi kwa wingi ili apate nguvu za kurejesha maji mwilini mwake pia chumvi chumvi zilizopotea kwake maji yawe yakitosha alafu apumzike kidogo
Badae ya muda mfupi mpeleke hospitali au kwa mtaalamu aliekaribu nae .pia hio itasaidia jinsi ya kuokoa maisha yake.
Huduma ya kwanza kwa mtu alievunjika mfupa.
Tunajuwa kwamba apo awali tunasema bora tiba kuliko kinga maana huduma ya kwanza ni muhimu sana tukiangalia kwenye huduma ya kwanza kwa mtu alievunjika mfupa ni kwamba uvunjika mfupa kutokana na sababu mbalimbali .ajali ya kuanguka na kugongwa kwenye michezo.pia ajali inaweza kutokana na kugongwa na vyombo vya usafili kama gari ,pikipiki baiskeli ,vyote hivyo upelekea kuvunjika kwa mfupa .hapo huduma ya kwanza ni muhimu kabisa
Mtu alievunjika mfupa anaweza kutambulika kwa kushindwa kutumia kiungo chake cha mwili bali na apo juisi maumivu makali sana sehemu hiyo iliyovimba na huwa na maumivu makali sana.
kuna aina mbalimbali za mvunjiko ya mfupa
1. mvunjiko wa mfupa kwa ndani: katika haina hii ya mvunjiko mfupa uvunjika vipande viwili au zaidi bila mfupa kutokeza nje ya ngozi.pia mfupa huweza kupata hufa mara nyingi sanaa pia sehemu ya nje huonekana uvimbe tu.
2. Mvunjiko wenye jeraha: katika namna hii mvunjiko unaweza kuwa kwa namna mbili tu.aina mojawapo ni kuvunjika kwa mfupa kuchoma mnofu .Aina nyingine ni mfupa kuvunjika na vipande vyake kutokeza nje ya ngozi.mfupa kuvunjika vipande viwili na kutokeza nje ya ngozi .jeraha huonekana katika sehemu iliyozunguka mvunjiko kwa ndani na nje ya ngozi.
Mvunjiko wa kupinda bila mfupa kukatika vipande viwili:: hii katika ajali ya namna hii mfupa hupinda bila kukatika kabisa vipande vipande.mvunjiko hufanana na kijiti kibichi ambacho kikipindwa huweza kuvunjika bila kukatika kabisa.
Namna ya kumhudumia mtu alievunjika mfupa.M
1. Mtulize mgonjwa kwa kumhakikishia usalama wake.
2. Kabla ya kutoa huduma yoyote zuia damu ilibisiendelee kutoka nyingi inatubidi zivae glavu ili kuondokana na magonjwabalimbali pia zumia kitambaa safi na salama cha kuzuia damu .
3. Mhudumie mgonjwa hapo hapo alipopatia jeraha linalonekana kwenye mvunjiko lifunike kwa hali ya usafi na wala usijalibu kurudishia mfupa kwenye hali yake ya kawaida.
4. Endapo mgonjwa amepata mshutuko ,mpatie kwanzabhuduma ya kwanzabhuduma endapo uendelee na hatua nyingine zaiditengeneza kiungo cha mwili kilichovunjika kwa uangalifu kwa kukifunga na magango safi na imara au kukifungia kwenye sehemu nyingine ya mwili wamajeruhi.
5. Mlaze mgonjwa sehemu tulivu kisha fungal hio sehemu ya gango liwe na urefu wa kutosha kutengeneza sehemu yote ya mwili yenye mfupa uliovunjika pale inapowezekana fanya ifuatayo.,,,funika ngozi katika sehemu ya mwili iliyovunjika kwa kutumia pamba .kitambaa.au nyasi laini hii husaidia kuzuia sehemu iliyovunjika kuumizwa na magango pamoja na bandeji .,,,iwapo magango mawili yanahitajika hakikisha yamelingana pande zote.
Mpeleke mgonjwa hospitalini kwa kutumia usafili ambao hautamuongezea maumivu kama baiskeli pikipiki na gari.
HUduma ya kwanza kwa mtu aliyezama kwenye maji .
Tumeangali huduma nyingi sana ila inabidi tuwe makini sana kama huwezo kumpatia hudumagonjwa mpeleke moja kwa moja kwa watahalamu au hospitalini.apa tunakuja kuangalia jinsi ya kumpatia huduma ya kwamlnza kwa mtu aliyezama kwenye maji .mtu anaweza kuanguka .kwenye maji na kuzama kwenye kina kirefu sana kwa bahati mbaya kushindwa kuogelea .vilevile mtu anaweza kuogelea anaweza kuzama kupata tatizo akiwa ndani ya maji .
Mtu akizama uweza kunywa maji mengi sana katika jitihada za kuvuta hewa .hivyo mtu aliyezama umeza maji mengi kwenye tumbo na mapafu hivyo hishindwa kupumua ipasavyo mtu huyo huitaji huduma ya kwanza hipasavyo kwa mfano kama aliezama hajazirai .muokoaji ni lazima awe muangalifu hii ninkwa sababu ya mtu aliezama hutapatapa na huweza kumzamisha muokoaji nyote mkashindwa kujiokoa .muokoaji apaswi kumgusa mtu aliezama kwenye maji .anatakiwa atumie vitu kama vile kitambaa.mti .nguo au kamba ndefu.
hatua za kumhudumia mtu aliyezama kwenye maji.
Bahada ya hapo atakuwa amepata nafuu kidogo lazima umpeleke hospitali waweze kumpatia matibabu pia haishauriwi kama huwezi kuogelea inakubidi uchukue hatua vizuri .kuna huduma nyingi sana.
huduma ya kwanza kwa mtu aliyeumwa na nyoka.
Tukiangalia pale mwanzo tumeona huduma zipo nyingi sana na huduma ya kwanza inatolewa na mtu yeyote mwenye huwezo wa kutoa huduma .tukiangalia huduma ya kqanzabkqa mtu aliyeumwa na nyoka .kwanza tujue kuna aina nyingi za nyoka kuna nyoka wenye sumu na ambao hawana sumu tena nyoka wenye sumu ni nyoka atari sana kwa sababu wanna sumu ambayo inaweza kusababishia kifo kama mtu hakupata huduma ya kwanza mapema .pia kuna dalili za mtu aliyeumwa na nyoka ni kuvimba na maumivu makali sana .
Kuna hatua za kumhudumia mgonjwa aliyeumwa na nyoka .
Mpeleke mgonjwa hospitalini haraka au mwite mtaalamu wa afya ili kiwezekana hatibiwe hapo hapo.
vitu ambavyo hutakiwi kufanya katika kumhudumia aliyeumwa na nyoka.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiw ana App yetu. Bofya liln hapo chini kuweza ku download
Download NowJe! umeipenda hii post?
Ndio Hapana Save post
Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: Huduma Main: Post File: Download PDF Share On Facebook or Whatsapp Views 3567
Sponsored links
👉1
Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
👉2
Madrasa kiganjani
👉3
Kitabu cha Afya
👉4
Kitau cha Fiqh
👉5
kitabu cha Simulizi
👉6
Simulizi za Hadithi Audio
Ratiba ya chanjo ya kifua kikuu
Posti hii inahusu zaidi ratiba ya chanjo ya kuzuia kifua kikuu, hiii ni ratiba ambayo chanjo hii utolewa na ushauri mbalimbali utolewa ili kuweza kufanikisha kazi ya chanjo hii Soma Zaidi...
Vifaa vya kutumia wakati wa kusafisha vidonda.
Posti hii inahusu zaidi vifaa vya kutumia wakati wa kusafisha vidonda, ni vifaa muhimu ambavyo mara nyingi kutwa hospitalini. Soma Zaidi...
Jinsi ya kujikinga na U.T.I inayijirudia rudia.
Endapo U.T.I inajirudiarudia baada yavkutibiwa inawezabkuwa ikakupa mawazo mengi. Katika post hii nitakufafanulia nini ufanye. Soma Zaidi...
Vipimo vya minyoo
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vipimo vya minyoo Soma Zaidi...
Athari ya kutotibu maambukizi ya kwenye kibofu cha mkojo
Post hii inahusu zaidi athari za kutotibu maambukizi kwenye kibofu Cha mkojo, nimatazito yanayoweza kutokea iwapo ugonjwa huu hautatibika. Soma Zaidi...
Ratiba ya chanjo ya kuzuia kuharisha
Posti hii inahusu zaidi ratiba ya chanjo ya kuzuia kuharisha hii ni chanjo wanayopewa watoto wadogo chini ya miaka mitano kwa lengo la kuzuia kuharisha chanjo hiyo kwa kitaalamu huitwa Rotarix. Soma Zaidi...
Huduma ya Kwanza kwa mtu aliyezimia
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyezimia Soma Zaidi...
Huduma ya Kwanza kwa mtu anayetokwa na damu ya pua
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu anayetokwa na damu ya pua Soma Zaidi...
Namna ya kumlisha Mgonjwa ambaye hawezi kujilisha mwenyewe ni
Posti hii inahusu njia za kumlisha Mgonjwa ambaye hawezi kujilisha wenyewe, hali hii uwa inawapata wagonjwa wale ambao hawawezi kujilisha wenyewe tunaweza kuwalisha kwa njia zifuatazo. Soma Zaidi...
Zijue kazi za uke (vagina)
Uke ni sehemu ambayo imo ndani ya mwili wa mwanamke, sehemu hii ufanya kazi mbalimbali hasa wakati wa kujamiiana, kubarehe na kujifungua kwa mama. Soma Zaidi...