Hasara za kitunguu swaumu wakati wa ujauzito
Posti hii inahusu zaidi hasara za kitunguu swaumu wakati wa ujauzito.
Hasara za kitunguu swaumu wakati wa ujauzito.
1. Kwa kawaida kila kitu chenye faida hakikosi kubwa na hasara ni vizuri kabisa kutumia vitunguu swai wakati wa ujauzito ila vitumike kwa uangalizi kwa sababu usababisha madhara makubwa kama tutakavyoona.
2. Kutokwa na damu nyingi iwapo kama pametokea upasuaji.
Kwa kawaida mama akiwa mjamzito kama kuna tatizo ambalo linaweza kutokea anaweza kupata upasuaji ila kwa sababu ya matumizi ya vitunguu saumu mama anaweza kutokwa damu nyingi wakati wa kujifungua.
2. Kupunguza sana shinikizo la damu.
Kwa kawaida tunafahamu kwamba vitunguu swaumu usaidia katika kupunguza shinikizo la damu kama liko juu ila kwa matumizi ya mara kwa mara usababisha shinikizo la damu kupungua zaidi.
3. Pia upunguza kuwepo kwa iodine mwilini kwa sababu ya kuwepo kwa thyloid gland.
4. Kupunguza kiwango cha sukari mwilini.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Kitabu cha Afya 👉2 kitabu cha Simulizi 👉3 Kitau cha Fiqh 👉4 ai web app 👉5 Dua za Mitume na Manabii 👉6 Simulizi za Hadithi Audio
Post zinazofanana:
Faida za kiafya za nyanya
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nyanya
Soma Zaidi...Faida za kula tikiti
Ukubwa wa tikiti unasadifu yaliyopo, kwani kuna fgaida akubwa sana za kiafya katika kula tikiti
Soma Zaidi...Zijuwe faida za kula njegere
zijuwe faida za kula njegere kiafya na umuhimu wa kula jegere pia jifunze njegere zina kazi gani mwilini?
Soma Zaidi...Fahamu vitamini K na kazi zake, vyakula vya vitamini k na athari za upungufu wake
kuhusu vitamini K, wapi tutavipata, ni zipi athari zake na ni zipi kazi zake mwilini.
Soma Zaidi...