Navigation Menu



Madhara ya mtoto kuzaliwa akiwa na uzito mkubwa

Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kama mtoto alizaliwa na uzito mkubwa.

Madhara ya mtoto kuzaliwa akiwa na uzito mkubwa.

1. Pamoja na kupenda mtoto awe na uzito mkubwa na pia kuna madhara yake kama tutakavyoona hapo chini.

 

2. Mtoto akizaliwa na uzito mkubwa anaweza kupata tatizo la sukari kushuka kwa sababu mtoto akiwa tumboni anakuwa anakula na kushiba kila kitu ila akija huku nje kwa sababu ya kutopata chakula cha kutosha kama akiwa tumboni anaweza kushuka kwa sukari.

 

3. Pia mtoto akiwa mkubwa anasababusha mama kuchanika wakati wa kujifungua.

4. Vile vile mama anaweza kupata upasuaji na kusababisha matatizo mbalimbali kama vile kuuguza kidonda na mambo kama hayo

Download app yetu

Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiw ana App yetu. Bofya liln hapo chini kuweza ku download

Download Now Bongoclass

           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu image Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Topic: Uzazi Main: Post File: Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Views 1411


Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Simulizi za Hadithi Audio     👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)     👉4 kitabu cha Simulizi     👉5 Kitabu cha Afya     👉6 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-

Sababu za kuvunjika kwa mtoto wakati wa kuzaliwa.
Post hii inahusu zaidi sababu za kuvunjika kwa mtoto wakati wa kuzaliwa, kuna wakati mtoto anapozaliwa anaweza kuvunjika kwenye sehemu mbalimbali kwa sababu zifuatazo. Soma Zaidi...

Njia za kiasili zilizotumika zamani kqtika kupima ujauzito
Somo hili linakwenda kukuletea njia za asili walizotumia zamani katika kupima ujauzito Soma Zaidi...

Umuhimu wa kunyonyesha kwa Mama
Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa kunyonyesha kwa akina Mama, kunyonyesha ni kitendo ambacho Mama utumia maziwa yake na kumlisha mtoto pindi tu anapozaliwa mpaka wakati anapoachishwa titi, kunyonyesha huwa na faida kubwa kwa wote yaani Mama na mtoto, zif Soma Zaidi...

Dalili za kifafa cha mimba.
Posti hii inahusu zaidi Dalili za Mama mwenye kifafa cha mimba, ili kifafa cha mimba kiweze kutokea lazima kuna dalili ambazo uweza kutokea kwa Mama kama ifuatavyo. Soma Zaidi...

Sababu za maumivu ya tumbo wakatu wa tendo la ndoa
Jifunze sababu kuu zinazosababisha kuhisi maumivu makali ya tumbo wakati wa kushiriki tendo la ndoa Soma Zaidi...

Maumivu ya uume baada ya tendo la ndoa
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu maumivu ya uume baada ya tendo la ndoa Soma Zaidi...

Dalili za kuharibika kwa mimba
Katika post hii utajifunza ishara na dalili ninazoonyesha kuwa mimba ipo hatarini kutoka ama inaweza kuwa imeshatoka. Soma Zaidi...

Nimemaliza heddhi mwezi huu lkni najihisi tena dalili zakublidi wiki nzima hii kwann?
Soma Zaidi...

mambo HATARI KWA UJAUZITO (MIMBA) mambo yanayopelekea kujauzito kuwa hatarini kutoka
Tofauti na mambo matano yaliyotajwa hapo juu kuwa yanapelekea ujauzito kutoka, kuna mambo mengine ambayo yanaweza kuuweka ujauzito kuwa hatarini. Soma Zaidi...

Mambo muhimu kuhusu mbegu za kiume
Post hii inahusu zaidi mambo muhimu ambayo tunapaswa kujua au kufahamu kuhusu mbegu za kiume, kwa kuwa mbegu za kiume usaidia katika utungaji wa mimba kwa hiyo ni vizuri kabisa kuzitunza Ili kuweza kuepuka matatizo mbalimbali ambayo yanaweza kutokea kwa s Soma Zaidi...