picha
HAKI ZA MUISLAMU KWA MUISLAMU MWENZIWE

Hizi ndio haki kuu tano unazopasa kumpatia Muislamu mwenzio.

picha
FADHILA ZA KUJENGA MSIKITI

Kuna malipo makubwa kwa ambaye amejenga msikiti kwa ajili ya kuoatavradhi za Allah.

picha
SABABU ZA KUSHUKA KWA SURAT DHUHA

Sura hii imetermka Makkah na ina aya 11. Sura hii ni moja ya sura ambazo zimeshuka mwanzoni wakati ambapo Mtume...

picha
FAHAMU MATUMIZI YA AMPICILLIN.

Ampicillin ni antibiotic yenye msingi wa penicillin ambayo inafanya kazi kupambana na maambukizi ya ndani ya bakteria. Ampicillin hufanya...

picha
FAHAMU MATUMIZI YA DAWA IITWAYO ASPIRIN.

Aspirini Ni dawa ya kutuliza maumivu.Majina yanayoaminika zaidi katika kutuliza maumivu sasa yanapatikana kwa njia mbadala inayookoa gharama kwa kutumia...

picha
FAHAMU DAWA INAYOTIBU MINYOO IITWAYO ALBENZA (ALBENDAZOLE)

Albenza (albendazole) hutumika kutibu magonjwa ya minyoo ya ndani ikiwa ni pamoja na maambukizi ya minyoo ya tegu. ...

picha
IJUE DAWA YA AMOXLINE (ANTIBIOTIC) NA MATUMIZI YAKE

Posti hii inahusu zaidi dawa ya amoxline .jinsi inavyofanya kazi mwilini.pamoja na matumizi yake.

picha
FAHAMU ZAIDI KUHUSIANA NA DAWA INAYOTIBU SHINIKIZO LA DAMU. IITWAYO LASIX

Lasix (Furosemide) iko katika kundi la dawa zinazoitwa vidonge vya maji (loop diuretics) vidonge vya maji. Lasix hutumiwa kupunguza uvimbe...

picha
HATHARI ZITOKANAZO NA UVUTAJI WA SIGARA ,POMBE NA MADAWA YA KULEVYA NA MBINU ZA KUJIKINGA NAYO

Posti hii inahusu zaidi utumiaji wa pombe na sigara pamoja na madawa katika jamii.

picha
FAHAMU DAWA INAYOTUMIKA KUPUNGUZA MAUMIVU (IBUPROFEN)

Ibuprofen ni mojawapo ya dawa zinazotumiwa sana duniani kote! Ili kupunguza maumivu na kuvimba, agiza Ibuprofen leo na upate...

picha
FAHAMU MATUMIZI YA DAWA IITWAYO PARACETAMOL.

Paracetamol kwa jina kingine hujulikana kama(acetaminophen) ni dawa ya kawaida ya kutuliza maumivu ambayo hutumiwa kupunguza aina mbalimbali za maumivu....

picha
JIFUNZE ZAIDI MZUNGUKO WA MFUMO WA DAMU KWA BINADAMU

Posti hii inahusu zaidi mfumo wa mwili ambao huhusika na kusafirisha damu ,virutubisho na takamwili.mfumo huu unajumuisha damu,mishipa ya damu...

picha
YAFAHAMU MAGONJWA YA KURITHI NA DALILI ZAKE PIA NA JINSI YA KUJIKINGA NAYO

Posti hii inahusu zaidi magonjwa ya kurithi ambayo hubebwa na vinasaba vya urithi kutoka kizazi kimoja kwenda kingine.magonjwa haya hata...

picha
UZURI WA BENKI ZA KIISLAMU

Kwa nini benki za kiislamu ni bora kuliko benki nyingine?

picha
MIFUMO YA BENKI YA KIISLAMU.

Hapa utajifunza njia ambazo nenk ya kiislamu hutumia ili kujiendesha

picha
TARATIBU ZA KUMILIKI HISA NA MALI YA SHIRIKA

Katika Uislamu kuwa na hisa kwenye mali inaruhusiwa. Hapa utajifunza taratibu za kumiliki hisa.

picha
UFUMBUZI WA TATIZO LA RIBA.

Uislamu ndio dini pekee ambayo inatoa ufumbuzi juu ya suala la riba.

picha
NI KWA NINI RIBA IMEHARAMISHWA KWENYE UISLAMU

Hapa utajifinza uharamu wa riba na sababu za kuharamishwa kwake.

picha
MADHARA YA RIBA KWENYE JAMII

Haya ni madhara ya riba katika jamii. Ni kwa namna gani jamii inadhurika kutokana na riba?

picha
MIFUMO YA BENKI NA KAZI ZAKE

Hapa utajifunza kazi za benki.

picha
UISLAMU UNAVYOKEMEA TABIA YA OMBAOMBA

Uislamu umekataza tabia ya kuombaomba kama ndio njia ya kuendesha maisha. Pia ukaweka suluhisho la kukomesha tabia hiyo

picha
NJIA HARAMU ZA UCHUMI.

Njia hizi ni haramu katika kukuza uchumi wako.

picha
MGAWANYIKO KATIKA KUITUMIA MALI UNAYOMILIKI

Unajuwa namna ambavyo matumizi ya mali yako, yanavyogawanywa? Jifunze hapa mgawanyiko wa mali yako.

picha
HAKI YA KUMILIKI MALI NA MIPAKA YAKE KATIKA UISLAMU

Je unaijuwa mipaka yako katika kumiliki mali. Ama unajuwa haki zako katika mali inayomiliki. Endelea na somo

Page 141 of 229

Kuhusu Bongoclass

image

Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.