Post hii inahusu zaidi dawa ya carvedilo katika matibabu ya magonjwa, ni mojawapo ya dawa kwenye kundi la beta blockers na pia uhusika katika matibabu ya magonjwa ya moyo kama nyingine.
Dawa ya carvedilo katika matibabu ya magonjwa ya moyo.
1. Kama tulivyoona hapo mwanzoni kwamba dawa hii ya carvedilo imo kwenye makundi ya dawa za matibabu ya magonjwa ya moyo ,dawa hii uhusika na kupunguza mapigo ya moyo kama yanakwenda mbio na matatizo mbalimbali yanayoendana na hali hiyo ,kwa upande wa matumizi dawa hii utegemea mgonjwa pia na utaalamu wa wahudumu wa afya.
2. Kwa kawaida dawa hii uwa kwenye mfumo wa vidonge na pia utumika kila siku hasa kwa watumiaji wenye tatizo la kudumu ila kwa wale ambao tatizo limetokea kwa mda au kwa sababu fulani dawa hizi zinawezwa kuacha kutumika hasa pale tatizo lilionekana kuisha .
3. Pia kama zilivyo dawa nyingine na dawa hii ya carvedilo ina maudhui madogo madogo kama vile kuwepo kwa kizungu Zungu hasa kwa wanaoanza kutumia dawa, uchofu wa mara kwa mara ,presha kushuka, kichefuchefu na kutapika, uzito kuongezeka, pia kwa walio wachache wanaweza kupata shida ya kushindwa kupumua na pengine sukari kushuka, kwa hiyo ikitokea haya maudhui madogo madogo yakitokea kwa kiwango cha chini ni vizuri kuyavumilia na kisha baada ya mda mfupi.
5. Kwa upande wa maudhi madogo madogo yakiendelea na kusababisha madhara makubwa hasa upungufu wa sukari na kupumua vibaya ni vizuri kutoa taarifa kwa wataalamu wa afya ili waweze kubadilisha dawa na kumfanya mgonjwa aendelee vizuri.
6. Dawa hii inatumika kwa watu mbalimbali ila kwa wale wenye matatizo ya kushuka kwa sukari,na kupumua vibaya wanapaswa kuzitumia kwa uangalifu mkubwa au kwa upande wa wenye sukari ni vizuri kupima sukari kabla ya kutumia dawa.
7. Kwa hiyo dawa hizo zinapaswa kutumika kwa utaratibu na ushauri wa wataalamu wa afya na sio kutumia dawa hii kiholela.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu zaidi aina mojawapo ya dawa ya penicillin ambayo ufanya kazi kwa mda mrefu, dawa hii kwa kitaamu huiitwa procaine benzyl penicillin.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya macrolide ni mojawapo ya dawa ya kutibu au kupambana na bakteria na upambana na bakteria wafuatao streptococcus pyogenes, staphylococcus aureus na haihusiki na haemophilia influenza ambao usababisha maambukizi kwenye mfumo w
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya epinephrine kwa kutuliza aleji ni dawa ambayo imependekezwa kutuliza aleji kama dawa ya hydrocortisone, Prednisone hazipo au zimeshindwa kufanya kazi.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa mbadala za vidonda vya tumbo
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa ya Acetohexamide kwa matibabu ya sukari, kama tulivyoona katika post iliyopita kwamba kuna kipindi ambacho kongosho linatoa insulini lakini seli haziko tayari kupokea hiyo insulini.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi watu ambao wana uwezo wa kutumia vidonge vya zamiconal, ni baadhi ya watu au makundi yanayoweza kutumia vidonge hivi.
Soma Zaidi...Nini kinasababisha maumivu ya tumbo chini ya kitovu?
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa za 5-fluorouracil, Tegafur na uracili katika kupambana na kansa.
Soma Zaidi...