image

IJUE DAWA YA AMOXLINE (antibiotic) NA MATUMIZI YAKE

Posti hii inahusu zaidi dawa ya amoxline .jinsi inavyofanya kazi mwilini.pamoja na matumizi yake.

Kama tulivyoelezwa hapo mwanzo kuhusu hii dawa ya amoxline jinsi inavyofanya kazi mwilini mwa binadamu. Tukiangalia amoxline ni dawa inayotumika kutibu na kuuwa vijidudu  vidogo vidogo vilivyoko mwilini mwa binadamu.

 

           AINA ZA DOZI :

.           Kuna aina tatu (3) ya dozi aina ya amoxline ambazo anatakiwa kupewa mtu yeyote yule ambazo ni.

(a) vidonge.

(b)dawa ya kufungwa ambayo inakuwa kwenye kava.

(c) dawa ya maji.

 

         A.VIDONGE

Hii ni dawa ambayo ambayo inakuwa na rangi nyeupe ambayo umbo lake linakuwa kama duara .pia hii dawa inatumiwa na watu wa lika zote.dawa hii ina( 250mg).dawa hii ya kidonge ina saidia sana kuondoa majeruhi ya nje na ya ndani .unaweza kuitumia kuinywa na maji au kama una jeraha la nje inaweza kusaga icho kidonge hicho na kuweka kwenye jeraha ili kikauke mapema .ili vijidudu ambavyo viko kwenye kidonda viweze kuondoka kwa haraka .kama tulivyoelezwa hapo awali vijidudu hivi utoka mwilini kwa njia nyingi.ikiwemo kwa njia ya jasho.vijidudu hivi huwezi kuviona ila pale jasho.pia kwa njia ya mkojo.,na kwa njia ya haja kubwa.

 

     B: DAWA AMBAYO IMEFUNIKWA (KAVA).

Hii ni dawa ambayo inakuwa imefunikwa ambayo inakuwa na kava mbili za kufunguliwa.dawa hii ndani yake inakuwa imesagwa kabisa .ambayo ndo dawa inaotumiwa na watu wengi sana .dawa hii ina uzito wa 250mg.kama tulivyoona nyingine pale juu pia dawa ya aina hii anatumiwa na mtu yeyote yule.na dawa hii inaponyesha haraka .

 

       DAWA YA MAJI ( kumiminika).

            Dawa hii ya maji ambayo ni mahalumu sana kwa watoto wachanga.ambapo mtoto mwenye umri kuanzia miezi 2 uwezi kumpatia kidonge kikubwa na kidonge chenye kava kwa sababu bado anakuwa ajakomaa mwili wake kumeza hip dawa inapelekea mtoto kupewa dawa hii ya maji .pia watu wa umri ule wanatumia sababu haizuru .pia dawa hii inakuwa na 125m|s/kg.

 

Jinsi ya kutumia dawa pamoja na  dozi.dawa hiii inabidi kutumia kwa uangalifu kutokana na maelekezo uliopewa na daktari au mshauri wa hivi dawa.

.Mtu mzima:500mg kutwa mara tatu (kila baada ya masaa nane)

.mtoto mdogo:250mg kutwa mara tatu(kila baada ya masaa nane).kama nilivyoeleza kwa mtoto ni vizuri zaidi apewe dawa ya maji.

 

       mtu gani anayetakiwa kupewa dawa hizi:? 

.        kama tulivyoelezwa apo mwanzo dawa hizi anapaswa kutumia mtu yeyote yule.zaidi ya ilo anayepaswa kutumia dawa hizi ni yule mgonjwa anayeumwa .pia dawa.hizi zinatibu sana kwa mtu mwenye magonjwa kwenye mfumo wa upumuaji (upper respiratory tract infection) URTI.kama wewe sio mgonjwa haumwi huu ugonjwa ni marufuku kutumia hizo dawa.

              Mtu ambaye hapaswi kutumia dawa hizi.    

       1.mtu ambaye ana aleji na amoxline au ana matatizo na hili dawa hapaswi kabisa kutumia sababu inaweza kumletea madhara katika mwili wake.kwa hiyo hapaswi kutumia dawa hizi.

     

     2.mtu aliye lewa hapaswi kutumia.kutokana na hili watu wanao kunywa pombe apaswi kutumia dawa hizi sababu italeta madhara makubwa kwa sababu mtu alielewa damu yake inakuwa inazunguka sana mwilini.pia ukiangalia na hili dawa inakuwa inafanya kazi yake kwa hiyo pombe inaweza ikazidi au ikawa na uwezo mkubwa muno wa kutawala mwenendo wa damu mwilini.

 

    3.mtu anae vuta vitu vyenye moshi.mfano sigara ,bangi ,mirungi,pamoja na mtumiaji wa madawa haina ya kokeini .

      Tukiangalia sigara ina sumu kali sana ya mikononi.kwenye moshi wa sigara kuna gesi ambayo ina sumu kali na ina uwezo wa kuharibu mishipa ya fahamu inakuwa ni mchanganyiko wa vitu mbalimbali .kwahio ikiwa ni madhara aya kwa ushauri mtumiaji wa dawa hizi inabidi mtumiaji anaetumia sigara inabidi asitumie kwa kipindi anameza dawa.

  

   MADHARA YA HII  DAWA YA AMOXLINAMOXLINE. Dawa hizi zina maudhui madogo madogo ya dawa :

1.kichefuchefu.hii ni mojawapo ya madhara ya hivi dawa bahada ya kumaliza kumeza kwa sababu kichefu chefu hicho kinaweza kumpelekea mtu kutapika hivyo inapelekea kutapika dawa na ikashindwa kufanya kazi mwilini mwake.asilimia kubwa watu utapika kutokana na dawa hizi .ni mojawapo ya madhara ya hii dawa ya amoxline.

2.kichwa kuuma.pia na hili ni moja wapo ya madhara ya kutumia dawa hizi ambapo mtu anaumia kicha huo inatokana na mtu kutokula chakula kwa wingi au shida ya kichwa kuuma ni pale mtu kutomaliza dozi yake.hivyo hivyo inabidi mtu amalize dozi hivo hivo awe anakula chakula.

3.kuchoka.bahada ya mtu kumeza dawa hizi uwa amechoka sana.hii ni mojawapo ya madhara ya kutumia dawa za amoxline .mtu anashindwa kufanya kazi hiyo inatokana na mtu kumeza dawa alafu ajala chakula na matunda usipokula itapelekea vijidudu kuwa na nguvu ya kushambulia seli hai.pia dozi hiyo inabidi itumike ndani ya siku nne apo ndo utakuwa umepona.

4.kizunguzungu.hii ni mojawapo ya madhara ya mtu anaetumia dawa hizi .upatwa na kizunguzungu mara kwa mara .pale endapo atakuwa anatumia hizi dawa .

5.usingizi.pia dawa hizi humfanya mtu kuchoka na kupata usingizi mara kwa mara tatizo hili uwapata zaidi sana wazee.sababu seli zao zinakuwa aziwezi kuimili dawa hizi.pia pale wanapokuwa wetulia sehemu moja ile ile tofauti na vijana .kwahiyo mzee au mtu yeyote yule inabidi akiwa anatumia dawa hizi asikae sehemu moja inabidi atembee ili kupunguza ukali wa dawa mwilini.

 

            jinsi dawa inavyofanya kazi mwilini.dawa Hii ufanya kazi kupitia :figo,mkojo,vinyweleo ,jasho na ini.

Figo,tukiangalia dawa inafanya kazi kupitia figo ambapo ambapo usambaza dawa hizo mpaka sehemu zote za mwili.

Mkojo.tukiangalia mkojo ni njia mojawapo inayopelekea kwa dawa kufanya kazi kwa sababu uondoa vijidudu kutoka mwilini mpaka nje kwa kukojoa ambapo figo inakuwa ishachuja hio dawa moja kwa moja .

Vinyweleo.pale dawa inapokuwa ishamaliza kufanya kazi vinyweleo ufanya kazi ya kuondoa hivo vijidudu vidogo vidogo vyaagonjwa vilivyoko mwilini .ndo maana tunaona jinsi vinyweleo vinavyofanya kazi .

Jasho.pia jasho inasaidia dawa kufanya kazi sababu inasaidia kuondoa huo ugonjwa.

Ini.hii ni ogani ambayo inasaidia sana dawa kufanya kazi mwilini.ambayo inasaidia kuondoa sumu iliyomo mwilini mwa mtu pale dawa inapokuwa inafanya kazi.

 

Faida za kutumia dawa hii.

 Kuna faida nyingi za kutumia hiki dawa.

1.kupunguza ukali wa maumivu mwilini.tumejua mwanzo kwamba dawa hii inatibu kwa wepesi na kwa urahisi sana endapo mgonjwa ataweza kutumia dawa hizi ataweza kupunguza ukali wa ugonjwa na kupona kabisa katika mwilini mwake .kwa hio inabidi tumeze dawa hiii endapo ukiwa unaumwa.

2. Husaidia mtu kupona kwa haraka na kuendelea na shughuli yake.hii ni mojawapo ya faida ya kutumia dawa hii ya amoxline .ambapo mtu ataitumia na kumeza huweza kupona haraka na wepesi na kuboresha afya yake kuwa imara sana.

3.usafisha mwili na kuwa imara.tumeona kuwa hizi dawa inasaidia kuwa katika hali ya usafi pia husaidia kupata nguvu za kufanya kitu kwa wakati huo huo.

 

        Kwahiyo mara kadhaa binadamu anahitaji kupata dawa za tiba na kinga .watoto wadogo wanahitaji kupata dawa za kinga ili kuwalinda dhidi ya magonjwa .pia inatubidi tuchukue ushauri kwa madaktari .pia tuepuke kununua dawa hambazo kununua kutoka kwenye maduka yasiotambulika na serikali au wizara ya afya.inaahariwa mgonjwa amuone daktari pale atakapo mpima na kumuandikia dawa husika .

                    





           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 3572


Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 Madrasa kiganjani     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-

Namna ya kutumia tiba ya jino.
Posti hii inahusu zaidi namna au njia ya kufanya Ili kuweza kutumia tiba hii ya jino, kwa sababu ya mchanganyiko ambao umekwisha kuwepo kwa hiyo unachumua mchanganyiko unafanya kama ifuatavyo. Soma Zaidi...

Fahamu kundi la veta blockers katika matibabu ya magonjwa ya moyo.
Post hii inahusu zaidi kundi la beta blockers katika matibabu ya magonjwa ya moyo,hili kundi lina dawa mbalimbali ambazo utumika katika matibabu ya magonjwa ya moyo na kila dawa tutaiongelea tofauti tofauti ili kuweza kujua kazi zake. Soma Zaidi...

Kazi za Dawa ya Artesunate katika kutibu Malaria
Posti hii inahusu zaidi kazi za dawa ya Artesunate katika kutibu Malaria kali, ni dawa ambayo inatumika sana kutibu Malaria kali. Soma Zaidi...

Fahamu kazi ya dawa ya ampicillin inayopambana na maambukizi ya bakteria
Post hii inahusu zaidi dawa ya ampicillin, ni mojawapo ya dawa za kutibu maambukizi ya bakteria kwenye mwili wa binadamu ba pia ni dawa ambayo IPO kwenye kundi la penicillin kundi hili kwa kitaa huitwa broad spectrum penicillin Soma Zaidi...

Fahamu kuhusu dawa za kutibu minyoo
Post hii inahusu zaidi dawa mbalimbali za kutibu minyoo, tunafahamu kabisa minyoo ni ugonjwa ambao uwapata watu mbalimbali hasa watoto. Soma Zaidi...

Fahamu dawa za kutuliza magonjwa ya akili inayoitwa Chlorpromazine
Post hii inahusu zaidi dawa zinazosaidis katika kutuliza magonjwa ya akili, dawa hii kwa kitaamu huiitwa chlorpromazine ni dawa ambayo utumiwa na watu wenye tatizo la magonjwa ya akili na kwa kiasi kikubwa huwa sawa. Soma Zaidi...

Dawa ya Carvedilol na kazi yake.
Posti hii inahusu zaidi dawa ya Carvedilol na kazi yake, ni dawa inayotibu au kuzuia mapigo ya moyo ambayo yako juu na kusababisha kulegeza kwa mishipa ya moyo. Soma Zaidi...

Fahamu kuhusu dawa za Doxorubicin na Daunorubicin
Post hii inahusu zaidi dawa za Doxorubicin and Daunorubicin katika kupambana na kansa. Soma Zaidi...

Ijue dawa ya paracetamol katika kutibu maumivu
Post hii inahusu zaidi dawa ya paracetamol katika kutibu maumivu, ni dawa inayosaidia kutibu maumivu ya Kawaida kama vile aspirin. Soma Zaidi...

Dawa za maumivu ya jino
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa za maumivu ya jino Soma Zaidi...

Dawa za kutibu ugonjwa wa macho
Somo Hili linakwenda kukuletea dawa za kutibu ugonjwa wa macho Soma Zaidi...

Dawa ya Vidonda vya tumbo
Nitakujuza dawa ya kutibu vidonda vya tumbo, na kutibu vidonda vya tumbo sugu Soma Zaidi...