Kuna malipo makubwa kwa ambaye amejenga msikiti kwa ajili ya kuoatavradhi za Allah.
ู ููู ุจูููู ู ูุณูุฌูุฏูุง ููุฐูููุฑู ููููู ุงุณูู ู ุงูููููู ุจูููู ุงูููููู ูููู ุจูููุชูุง ููู ุงููุฌููููุฉู
Amesema Mtume Muhammad SAW kuwa "mwenye kujenga msikiti ili litajwe jina la Mwenyezi Mungu basi Mwenezi Mungu atamjengea mtu huyo nyumba ya peponi. โโโโโโ
Imepokewa na Ibn Majah kutoka kwa Umar Ibn alkhattab
Fadhila hizi hatazioata tu yule aliyetoa pesa za kujengwa ila hatavwalioshirikibkwa sadaka zao ama kushiriki kwa namna yeyote ile ila iwe ni kwa ajili ya Allah na si kwa ajili ya kutaka sifa.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Uadilifu ni usimamiziย wa ukweli na kutoaย hakiย kwa kila anayestahikiย kulingana na ukweli.
Soma Zaidi...