Post hii inahusu zaidi dawa ya mebendazole ni dawa ambayo utumika kutibu minyoo ambayo utokea kwa watoto na watu wazima.
1. Dawa hii ni mojawapo kwa dawa ambazo zimependekezwa kutibu ugonjwa wa minyoo, hii dawa ikitumika inavyopaswa uwezo wa kuua minyoo ni kwa kiwango kikubwa sana kwa sababu uua aina mbalimbali za minyoo kama ifuatavyo. Aina hii ya minyoo imo kwenye lugha ya kitaalamu kwa majina yake lakini lengo ni kuua minyoo majina hayo ni hookworm, thread worm, round worm na whipworm hao wote ni aina ya minyoo.
2. Kwa watumiaji wa dawa hii kwa kawaida uitumia kabla ya chakula au baada ya kumaliza kula chakula na kwa kawaida utafunwa na kumezwa na iko kwenye mfumo wa vidonge .
3. Dawa hi inaweza kutumika kwa watu mbalimbali watoto na watu wazima ila haipaswi kutumiwa na watoto chini ya miaka miwili na pia wanawake wenye mimba changa kwa sababu dawa hii inawezekana kutoa mimba changa na kwa watoto wadogo wenye chini ya miaka miwili uweza kupata degedege ikiwa wanatumia dawa hii mara kwa mara.
4. Pia dawa hii inawezekana kuleta maudhui madogo madogo kwa watumiaji kama vile maumivu ya tumbo na tumbo kujaa gesi, maumivu ya kichwa na pia kichefuchefu na kutapika.
5. Kwa sababu dawa hii ina madhara kwa watoto na mama wenye mimba changa ni vizuri kupata ushauri wa daktari kabla ya kutumia.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi faida za vidonge vya antroextra, ni vidonge kwa ajili ya mifupa, viungo na gegedu, hivi vidonge vimetumiwa na watu wengi na matokeo yake ni mazuri sana, kwa hiyo zifuatazo ni faida za vidonge hivi.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi imani potofu kuhusu madawa yanayotolewa hospitalini, ni imani waliyonayo Watu hasa Watu wa bi vijijini na hata wa mjini nao wameanza kutumia madawa ya miti shamba kwa wingi.
Soma Zaidi...Post hii inahusu dawa ya kaoline katika kutibu au kuzuia kuharisha ni dawa ambayo imependekezwa kutumiwa hasa kwa wale walioshindwa kutumia dawa ya loperamide.
Soma Zaidi...Zijuwe aina za minyoo na tiba yake. Dawa 5 za kutibu minyoo ya aina zote
Soma Zaidi...Posti hii inahusu dawa ya salbutamol na kazi yake ya kutibu ugonjwa wa Asthma, ni dawa mojawapo ambayo imetumia na watu wengi na wamefanikiwa kwa kiwango kikubwa, kwa hiyo zifuatazo ni kazi ya Dawa hii ya salbutamol katika kutibu Asthma.
Soma Zaidi...Utaijuwa Dawa ya maumivu ya jino, sababu za maumivu ya jino na njia za kujikinga na maumivu ya jino
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu dawa ya chango na maumivu ya hedhi
Soma Zaidi...Maumivu ya mgongo hutokea sana kwa wajawazito. Ijapokuwa ni hali ya usumbufu sana ila hakikisha hautumii madawa kiholela kutoka maduka ya dawa ama miti shamba. Kwani ukikisea kidogobinawezabhatarisha afya ya mtoto
Soma Zaidi...