About Us

Neno "BONGOCLASS" ni muunganiko wa maneno mawili. Neno β€œbongo” maana yake kwa lugha ya kiswahili ni ubongo, akili au maarifa. Na neno class katika lugha ya kiingereza ni darasa. Bongoclass ni darasa la kushiriika akili na maarifa kutoka kwa watu mbalimbali katika kutumia fursa zilizopo ili kuzalisha kipato na kuleta maendeleo katika jamii.


@Bongoclass 2018-2023 Copyright