Malaria ni moja ya magonjwa hatari yanayoongoza katika vifo vya watoto wengi duniani walio chni ya umri wa miaka 5. Katika post hii utakwend akujifunza kuhusuugonjwa huu jinsi unavyotokea, hatuwa zake na dalili zake.
Kwanza wacha tuzione njia kuu mbili ambazo ndizo husababisha ugonjw ahuu kuenea kutoka kwa mtu mmoja kwend akwa mtu mwingine.
Ugonjwa wa malaria unaambukizwa kwa njia kuu mbili:
1. Kuung'atwa na mbu wa Anopheles:
Hii ndiyo njia ya kawaida ya maambukizi ya malaria. Mbu wa Anopheles, anayejulikana kama mbu wa usiku, hubeba vimelea vya malaria aina ya Plasmodium. Vimelea hivi huingia kwenye mwili wa binadamu wakati mbu anapopiga damu.
Mifano:
2. Njia zingine:
Njia zingine za maambukizi ya malaria ni nadra, lakini zinaweza kutokea:
Mifano:
Hatuwa za ukuaji wa vimelea vya malaria mwilini:
Sasa wacha tuone hatuwa ambazo vijidudu vya malaria vinapitia ndani ya mwili kabla ya kusababisha malaria. katika hatuwa hizi ini ni sehemu muhimu sana kwa vimelea vya Malaria kukuwa.
Vimelea vya malaria aina ya Plasmodium vinapopita kwenye mwili wa binadamu hupitia hatua kadhaa kabla ya kusababisha dalili za malaria:
Hatua ya 1: Kuingia Mwilini:
Mfano:
Hatua ya 2: Kukuwa Katika Ini:
Mfano:
Hatua ya 3: Kuingia Kwenye Seli Nyekundu za Damu:
Mfano:
Hatua ya 4: Dalili za Malaria:
Mfano:
Hatua ya 5: Kusambazwa kwa Vimelea:
Mfano:
Hatua za Kuzuia Malaria:
Kufuata hatua hizi kunaweza kusaidia kuzuia maambukizi ya malaria na kuokoa maisha.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowJe na wewe unasumbukiwa na kunggoka jwa kucha. Tatizo limekunaza una muda gani nalo?
Soma Zaidi... Dalili na ishara za ugonjwa sugu wa figo hukua baada ya muda ikiwa uharibifu wa figo unaendelea polepole. Kupoteza utendakazi wa figo kunaweza kusababisha mrundikano wa majimaji au uchafu wa mwili. Kulingana na jinsi ilivyo kali, upotezaji wa kazi ya
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi Maambukizi kwenye mifupa ambayo kwa kitaalamu huitwa Osteomyelitis, ugonjwa huu uaribu zaidi kwenye mifupa na sehemu nyingine ambazo zinakaribia kwenye mifupa
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi watu walio katika hatari ya kupata homa ya ini,kwa sababu ya hali zao mbalimbali wanaweza kupata ugonjwa huu.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu athari za maambukizi ya magonjwa ya ngono ambapo magonjwa ya ngono isipokuwa UKIMWI yanatibika .mgonjwa anashauriwa kuwahi hospitali au kituo chochote cha afya kupata matibabu mara anapoona dalili za magonjwa haya.
Soma Zaidi...Vidonda vya tumbo ni vidonda vilivyo wazi vinavyotokea kwenye utando wa ndani wa umio, tumbo na sehemu ya juu ya utumbo wako. Dalili ya kawaida ya Peptic ulcer ni maumivu ya tumbo. Vidonda vya tumbo ni pamoja na: Vidonda vya tumbo vinavyotokea ndani
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na dalili za Kufunga kwa ulimi (Tongue-tie) kuanzia Mtoto anavyo zalia mpaka navyokua ni hali inayotokea wakati wa kuzaliwa ambayo kitaalamu hujulikana kama ankyloglossia.
Soma Zaidi...Je ukifanya mapenz na mtu mweny aina hi ya fangasi na akawa anayo maambukizi ya ukimwi.
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana Kuvimbiwa kwa watoto ni tatizo la kawaida.Kuvimbiwa kwa watoto mara nyingi kuna sifa ya kupata haja kubwa mara kwa mara au kinyesi kigumu, kikavu. Sababu mbalimbali zinaweza kusababisha kuvimbiwa kwa watoto.Sababu za kawa
Soma Zaidi...