Posti hii inahusu zaidi mabadiliko ya uzito kwa mjamzito, hii ni hali ya kubadilika kwa uzito kwa Mama akiwa na Mimba
Mabadiliko ya uzito kwa mjamzito
1. Mama akiwa mjamzito uzito ubadilika kulingana na miezi mbalimbali hii ni kwa sababu ya mtoto aliyetumboni na mabadiliko mbalimbali ya mwili.Katika wiki ya ishilini Uzito wa Mama uongezeka kwa 3.5kg na katika wiki za mwisho uzito uongezeka kwa kiasi Cha 9kg jumla ni 12. 5kg,kwa hiyo kwa ujumla kilo 12. 5kg kwa Mama mjamzito.
2. Vitu ambavyo ufanya Uzito wa Mama mjamzito kuongezeka ni pamoja na vyakula anavyokula kwa sababu Kuna akina Mama wengine wanaokula sana wakiwa na Mimba, maji ambayo Yamo kwenye mfuko wa uzazi ambayo kwa kitaalamu huitwa Amniotic fluid haya Maji uongeza sana uzito wa Mama akiwa na Mimba kwa sababu ni kitu ambacho hakikuwa kwenye mwili wake alipokuwa Hana mimba.
3.Vitu ambayo ufanya Uzito wa Mama kupungua.
Mama akiwa na Mimba Kuna vitu mbalimbali ambavyo ufanya Uzito wa Mama kupungua kama vile, kutapika na kuharisha usababisha Uzito wa Mama kupungua au magonjwa mbalimbali ambayo umfanya Mama kukosa hamu ya kula na kumfanya apungue uzito.
4. Kuna vitu ambavyo ufanya Uzito wa Mama kuongezeka,vitu hivyo ni kama ifuatavyo. Matiti yanakuwa na kilo 0.4kg,Adipose tissue zinakuwa na uzito wa 2.5kg, placenta inakuwa na uzito wa 0.6kg, Amniotic fluid inakuwa na uzito wa 0.8kg, mfuko wa uzazi inakuwa na uzito wa 0.9 kg, volume ya damu inakuwa na uzito wa 1.5 kg, maji mengine ya ziada yanakuwa na uzito wa 2.6kg, jumla ya uzito unaongezeka ni 12.5kg.
5. Uzito wa Mama uongezeka kwa kupitia vipindi vikuu viwili mpaka kuja kufukisha 12.5kg, kipindi Cha kwanza na Cha pili, kipindi Cha kwanza ni ni wiki mbili za mwanzoni ambapo kiwango Cha uzito ni sawa na 3.5 kg na kipindi Cha pili ni 9kg jumla ni 12.5kg kilo hizi uongezeka kufuatana na kukua kwa viungo mbalimbali kama vile kuongezeka Matiti,uzito wa mtoto, mfuko wa uzazi na majimaji yaliyomo kwenye mwili wa mwanamke mwenye mimba.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Hizi ni siku za hatari kupata ujauzito.Siku hizi ndio siku za kupata mimba kwa urahisi
Soma Zaidi...Mwanaume na mwanamke wanapo kutana na kujamiina kama mwanamke yupo kwenye ferlile process ni rahisi kupata mbimba. Sparm Zaid ya million moja huingia kwenye mfuko wa lakin sparm moja ndio huweza kuingia kwenye ovum(yai)lakin nyingine hubaki kwenye follopi
Soma Zaidi...Jifunze muda ambao mjamzito hatatkiwa kishiriki tendo la ndoa. je kuna madhara kwa mjamzito kushiriki tendo la ndoa.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia za uzazi wa mpango kwa watu waliopata maambukizi ya Virusi vya Ukimwi.
Soma Zaidi...Tofauti na mambo matano yaliyotajwa hapo juu kuwa yanapelekea ujauzito kutoka, kuna mambo mengine ambayo yanaweza kuuweka ujauzito kuwa hatarini.
Soma Zaidi...Ni mida gani njamzito ananza kuhisi kuwa tumboni anebeba mtoto.
Soma Zaidi...Zipo siku maalumu ambazo mwanamke hupata mimba. Siku hizi huzoeleka kwa jina la siku hatari. Je ungependa kufahamu mengi kuhusu siku hatari, endelea na makala hii.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea njia za kutatua tatizo la nguvu za kiume
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za mwanzo za ujauzito katika wiki ya kwanza
Soma Zaidi...Mama mjamzito anaruhusiwa kushiriki tendo la ndoa mpaka siku ya kujifungua Kama mume wake pamoja na yeye akiwa Hana maambukizi ya zinaa na Kama akiona dalili zozote zile za hatari ndio hataruhusiwa kushiriki tendo la ndoa.
Soma Zaidi...