Huwezi kuambukizwa Ukimwi kwa mambo yafuatayo
Posti hii inahusu zaidi au inapinga Imani potofu ambayo utokea kwenye jamii kwamba unaweza kuambukizwa Ukimwi kwa vitu ambavyo haviusiani na namna mtu anavyoweza kuambukizwa Ukimwi,Ila mapendekezo kuwa watu wanapaswa kujua kuwa huwezi kuambukizwa Ukimwi k
Huwezi kuambukizwa Ukimwi kwa njia zifuatazo.
1. Kuumwa na mbu, maana mbu anapovyonza damu kutoka mtu mmoja kwenda kwa mwingine,midomo yake Ina chemikali ambazo uua kabisa virus vya Ukimwi kwa hiyo mbu hawezi kuambukizwa Ukimwi.
2. Kupitia jasho, Ili virusi vya Ukimwi viweze kuingia kwenye mwili wa binadamu mpaka kuwepo na kugusanisha kwa damu, lakini kwa upande wa jasho mtu hawezi kupata maambukizi.
3. Kuchangia vifaa vya kulia,sahani,vijiko na kuchangia bwawa la kuogelea hayo yote hayawezi kuchangia kuenea kwa Ukimwi
4. Kwenda shule pamoja na kuwa na rafiki mwenye maambukizi ya Virusi vya Ukimwi,haya yote hayawezi kusababisha maambukizi.
5.kupiga chafya au kikohoa, mtu hawezi kupata maambukizi kwa mtindo huu.
6. Kushika a mikono , kukumbatiana na kupigana busu kavu, haya yote hayawezi kueneza maambukizi hata kidogo
7. Kuvuta hewa Moja na mtu mwenye maambukizi ya Virusi vya Ukimwi, huwezi kuambukizwa Ukimwi kwa mtindo huo,
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 ai web app 👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉3 Madrasa kiganjani 👉4 Kitau cha Fiqh 👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉6 web hosting
Post zinazofanana:
Dalili za shambulio la hofu
Shambulio la hofu ni tukio la ghafla la hofu kali ambayo husababisha athari kali za kimwili wakati hakuna hatari halisi au sababu inayoonekana. Mashambulizi ya hofu yanaweza kuwa ya kutisha sana. Mashambulizi ya hofu yanapotokea, unaweza kufikiri kwamba
Soma Zaidi...Zijue kazi za Figo mwilini
Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa Figo mwilini, Figo ni ogani ambayo kazi yake ni kuchuja sumu mwilini.
Soma Zaidi...Umuhimu wa kupima virus vya ukimwi kwa wajawazito na wanaonyonyesha
Post hii inahusu umuhimu wa kupima virus vya ukimwi kwa mama wajawazito na wanaonyonyesha. Ni hatua ya kupima Mama akiwa mjamzito na wakati wa kunyonyesha ili kuepuka hatari ya kumwambikiza mtoto
Soma Zaidi...Huduma ya Kwanza kwa mtu aliyepatwa na joto kubwa mwilini
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyepatwa na joto kubwa mwilini
Soma Zaidi...Huduma kwa watu wanaoishi na virusi vya Ukimwi
Posti hii inahusu zaidi huduma ambazo wagonjwa wanaoishi na maambukizi ya virus vya ukimwi wanaweza kupata, huduma hii utolewa hasa kwa wale ambao wamejitokeza kupima afya zao na kujua wazi hali zao na kwa wale wanaofatilia huduma hii wanaweza kuishi vizu
Soma Zaidi...HUDUMA YA KWANZA KWA MTU ANAYETOKWA NA DAMU YA PUA
Kama mtu anatokwa na damu za pua, basi juwa kuwa anahitaji huduma ya kwanza.
Soma Zaidi...