Je umeshawahi kuweka post yako kwenye blog halafu ikachukuwa mpaka siku 3 kuonekana kwenye search engine kama Google, Index ama...
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu Authentication header, najinsi ya kutuma taarifa hizo na kuzisoma
Katika somo hili utakwenda kujfunz akuhusu historia ya Bi Khada mke wa kwanz awa Mtume Muhammad ﷺ
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu ndoa ya Mtume Muhammad ﷺ na Bi Khadija
Katika somo hili utakwenda kujifunza kazi ambazo alikuwa akifanya Mtume Muhammad ﷺ kabla ya kupewa utume
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu historia ya mkataba wa al-Fudhul na matokeo yake katika kusimamaia haki za wafanyabiashara.
Hapa utajifunza chanzo vya vita vya al fijar na vipi Mtume Muhammad ﷺ alishiriki katika vita hivyo.
Katikasomo hili utakwenda kujifunza stori maarufu ya Bahira kuhusu kukutana na Mtume Muhammad ﷺ na kumtambuwa utume wake.
Katika somo hili utakwenda kujifunza historia ya Abu Talib ibn Abd al-Muttalib ambaye ni baba yae mkubwa Mtume ﷺ
Katika somo hili utakwenda kujifunza historia fupi ya Abadallah baba wa Mtume Muhammad ﷺ
Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu historia ya Amina mama wa Mtume Muhammad ﷺ
Katika somo hili utakwenda kujifunza historia ya mzee Abdul al MUttalib. Historia hii inaweza kutofautiana kidogo na ambayo umeshajifunza. na...
Katika somo hili utawenda kujifunza Historia fupi ya Salma bint Amir mama wa babu yake Mtume Muhammad kwa upande wa...
Katika somo hili utajifunza kuhusu Mtume MUhammad ﷺ kulelewa na Kufarki kwa babu yake na kulelewa na baba yake...
Katika somo hili utakwenda kujifunz akuhusu habari ya kifo cha Bi Amina ambaye ni mama yake Mtume MUhammad ﷺ
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu tukio la Kupasuliwa kwa Kifua Mtume Wakati Akiwa Mtoto
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuusu malezi na makuzi ya Mtume Muhammad ﷺ akiwa kwa bibi Halima
katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu Mazazi ya Mtume MUhammad ﷺ na kupewa jina.
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu Nasaba ya Mtume Muhammad ﷺ toka kwa wazazi wake Mpaka kwa Nabii Ibrahim
Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu historia ya wazazi wa Mtume Muhammad (s.a.w)
Katika soo hili utakwenda kujifunza historia ya jeshi la tembo na jinsi lilivyoangamizwa. Pia utajifunza namna ambavyo watu wa Makkah...
Katika somo hili utakwend akujfunza historia ya kufukuliwa upya kwa kisima cha zamzam baada ya kutoweka kwa muda mrefu
Katika somo hili utakwenda kujifunza historia ya kabila la Quraysh Mka na Familia ya Mtume MUhammad (s.a.w)
Katika somo hili utakwenda kujifunza Asili ya waarabu na kusambaa kwao katika bara arab
Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.