Posti hii inahusu zaidi vyakula anavyopaswa kutumia mama mjamzito, mama mjamzito ni mama ambaye amebeba kiumbe ndani kwa hiyo anapaswa kutumia vyakula vyenye virutubisho mbalimbali vitakavyomsaidia mtoto kukua vizuri.
Vyakula anavyopaswa kutumia mama mjamzito ni pamoja na.
1.kula Aina Tano za vyakula na kunywa maji ya kutosha walau Lita Moja na nusu kwa siku
2.Anapaswa kutumia nyama na maini
3.anapaswa kutumia mboga za majani Ili kuongezeka vitamin c
4.anapaswa kuwa msafi katika vyakula na maji
5.Aepuke kunywa sana chai au kahawa akiwa anakuja Ili kuepuka kusambaratisha madini ya chuma na kusababisha upungufu wa damu
6.Aepuke pombe kwa sababu zinazuia ukuaji wa mtoto na kuaribu ubongo wa mtoto
7.Atumie madawa ya kuongeza damu na madini ya chuma kadri ya maagizo ya wataalamu wa afya
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Zijuwe dawa za kuongeza nguvu za kiume, na vyakula salama vya kuongeza nguvu za kiume
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya tumbo baada ya kula
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu umuhimu wa kitunguu maji mwilini
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula mahindi
Soma Zaidi...Post hii itakufundisha madhara ya kuwa na mafuta mengi mwilimi
Soma Zaidi...Vyakula hivi vinaweza kuwa na hatai kwenye afya ya meno ama kuharibu kabisa meno.
Soma Zaidi...