Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu Authentication header, najinsi ya kutuma taarifa hizo na kuzisoma
Authentication header
Hii ni header ambayo ina kazi ya ya kuweka utambulisho kwenye hiyo request. Yenyewe hutumika kuthibitisha uhalali wa mtumiaji kama anastahiki kfanya hiyo request. Hivyo inaweza kumzuia ama kumruhusu. Mfano kutuma jina la mtumiaji na password kwa ajili ya ku login na vitu vingine. Ama kuthibitisha session. Pia hii inaweza kutumika kutuma authentication token kwenye server.
Ni ipi kazi kuu ya authentication header?
Kazi kuu ya authentication header ni kuhakikisha kuwa taarifa haibadilishwi wakati inapotumwa kutoka kwa cliect kwenda kwa server ama kutoka kwa server kwenda kwa client. Hii huboresha usalama kwani hacker anaweza kubadili taarifa hizi kama hazitakuwa salama na kuweza kusababisha hasara.
Ili kufanya authentication header kuna hatuwa tatu zinapitiwa:-
Kufanya encoding ya data husika.
Encoding ni kubadilidata kutoka hali ya kawaida na kuwa katika hali nyingine ambayo binadamu hawezi kuisoma hiyo data. Na kuzirudisha kunatumika decoding.
Encoding inayotumiwa hapa ni base64. Ambapo tunatumia functio hii base64_encode() ndan yake tunaweka hizo data. Kama data ni nyingi utazitenganisha kwa alama ya coloni yaani zile nukta pacha (:).
Mfano
Tunataka ku encode jina na password. Tuseme jina ni Bongoclass na password ni BCG123. Hivyo data zitakuwa hivi:
<?php
$username = 'Bongo';
$password = 'BCG123';
$auth = base64_encode("$username:$password");
//jarbu uprnt output taupa uZ286QkNHMTIz
echo $auth;
Sasa utaona hapo ama uta output hzo encoded data utapata Qm9uZ286QkNHMTIz ambapo h n data ambayo po encoded. Na utaa u decode utatuma base64_decode()
Mfano:
<?php
$encoded_data = "Qm9uZ286QkNHMTIz";
echo base64_decode($encoded_data);
Itakupa Bongo:BCG123
Utengeneza context data
Hapa tunawenda uandaa fungu cha data wa ajili ya kutumiwa kwenda kwenye server.
Kwanza data zetu tutaziweka kwenye array. Katika array yetu tatukwenda kuweka header na method. Method ninamanisha method ambazo hutumika kusend request. Kama vile get na post. Kisha tutatukwa na header ambayo itakuwani authorization basic
Aina ya array tutakayotumia ni associative array ambayo nakuwa na keys.
Mafano:
$header_data = array(
'http' => array(
'method' => 'GET',
'header' => "Authorization: Basic $auth\r\n"
)
);
Utaona hapo method ni GET na aina ya Authorization ni Basic ni ya kawaida tu kwa ajili ya kufanya authentication.
Baada ya kuziweka data zetu kwenye array hatuwa inatofuata ni kutengeneza context data kwa ajili ya kutuma kwenda kwenye server. Tutatumia function ya stream_context_create() ili kutuma data
Context data ni nini?
Hizi ni mkusanyiko wa data kama aramenta na taarifa nyinginezo ambazo hujitajika wakati wa kuwasiliana na server. Huweza kutengenezwa kwa kutumia function hiyo nilioitaja hapo juu na hutumia associative array..Zenyewe zinakuwa zinabeba taarifa kuhusu huo mkondo wa data kama tabia na seting nyinginezo. Kama tulivyoweka hapo juu metod na header information.
Mfano:
<?php
$username = 'Bongo';
$password = 'BCG123';
$auth = base64_encode("$username:$password");
$header_data = array(
'http' => array(
'method' => 'GET',
'header' => "Authorization: Basic $auth\r\n"
)
);
$context = stream_context_create($header_data);
?>
Sasa mpaa ufa hapo tutauwa tumeshatuma hzo taarfa wenda wenye server. Wa upande wa server anapotuna response ss tunaweza utuma function ya fle_get_contents() tutakuja kujifunza kwenye somo la API
Pia tunaweza kutuma data hizo kwa kutumia curl
$username = "Bongo";
$password = "BCG123";
$auth = base64_encode("$username:$password");
$curl = curl_init();
curl_setopt($curl, CURLOPT_URL, "https://api.example.com/data");
curl_setopt($curl, CURLOPT_RETURNTRANSFER, true);
curl_setopt($curl, CURLOPT_HTTPHEADER, array(
"Authorization: Basic $auth"
));
$response = curl_exec($curl);
curl_close($curl);
?>
Tutakuja kujifunza vizuri kuhusu curl kwenye somo la API
Unaweza uchanganya taafifa za aina mbalimbali kwenye context data zako. Angali mfano hapo chini:
<?php
$context_data = array(
'http' => array(
'method' => 'POST', // HTTP method
'header' => "Authorization: Bearer YOUR_ACCESS_TOKEN\r\n" .
"Content-Type: application/json\r\n",
'content' => json_encode(array('key1' => 'value1', 'key2' => 'value2')), // POST data
'timeout' => 30 // Timeout in seconds
),
'ssl' => array(
'verify_peer' => true,
'verify_peer_name' => true,
'cafile' => '/path/to/cacert.pem' // Path to Certificate Authority file
)
);
// Create the context resource
$context = stream_context_create($context_data);
?>
Kwa upande wa server:
Sasa kwa upande wa server tunaweza kusoma hizo data zilizotumwa kwa kutumia server variable mfabo
Upata username tutatuma $_SERVER['PHP_AUTH_USER']; na upata password tutatuma $_SERVER['PHP_AUTH_PW'];
Pia ili kuangalia kama mtumiaji yupo authenticated tutatumia isset()
Mfano:
<?php
// Check if the user has provided credentials
if (!isset($_SERVER['PHP_AUTH_USER'])) {
// If not, send a 401 Unauthorized response and the WWW-Authenticate header
header('HTTP/1.1 401 Unauthorized');
header('WWW-Authenticate: Basic realm="My Realm"');
echo 'Authentication required.';
exit;
} else {
// Validate the provided credentials
$username = $_SERVER['PHP_AUTH_USER'];
$password = $_SERVER['PHP_AUTH_PW'];
// Example credentials for validation
$valid_username = 'admin';
$valid_password = 'password';
if ($username === $valid_username && $password === $valid_password) {
echo 'You are authenticated!';<">...
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwendakujifunza concept ya namespaces na jinsi inavyosaidi kwenye OOP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ku update na kufuta data kwenye database kwa kutumia PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu Maana ya JSON na sheria za kuandika faili la json
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kusoma data kutoka kwenye database kwa kutumia PHP.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kuona namna ya kutuia if else kwenye data zilizopo kwenye database kwa kutumia PHP
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza ni kwa namna gani utaweza kuzitumiadata za jsonkwenye program yako
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi jinsi ya ku edit ama ku update data na kuzifuta kwenye database kwa kutumia PDO
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kutumia filter_var() function kwa ajili ya kuchuja code zilizo hatari kwenye PHP file
Soma Zaidi...Katika somo hili utajwenda kujifunza jinsi ya kuzuia hacking kwenye website yako
Soma Zaidi...Hili ni somo la mwisho katika mfululizo huu wa ORM, kupata ujuzi zaidi endelea kusoma ORM nyinginezo ambazo nimetangulia kuzitaja awali ya masomo haya.
Soma Zaidi...