Vita vya uhudi viliweza kuleta athari nyingi. Post hii itakuletea athari baadhi za vita hivyo.
1. Vifo vya waislamu.
2. Waislamu walitambuwa umuhimu wa kufuata amri ya Mtume katika hali zozote zile.
3. Uislamu ulipata nguvu zaidi baada ya kushinda vita.
4. Mali za waislamu waliokwenda vitani zilichukuliwa baada ya kupigwa
5. Mtume alijeruhiwa na kung'olewa meno
6. Kudhoofu kwa nguvu za makafiri baada ya kuuwawa viongozi wao kama Abujahal.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Kumzulia mtu mtwahirifu kuwa amefanya tendo la zinaa pasina kuleta ushahidi stahiki ni tendo ovu mno mbele ya Allah (s.
Soma Zaidi...Kuwa ni kwa nini mwanadamu hawezi kuishi bila ya dini kutokana na umbile la mwanadamu.
Soma Zaidi...Dini anayostahiki kufuata mwanadamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...Nguzo za imani (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...Katika Uislamu elimu imegawanyika katika Elimu ya muongozo na elimu ya mazingira.
Soma Zaidi...