Dola ya kiislamu madinah (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu)
8.1. Kuanzishwa kwa Dola ya Kiislamu Madinah.
- Kabla ya kufika Madinah, Mtume (s.a.w) akiwa mji wa Quba aliamuru msikiti ujengwe uliokuwa Ukiitwa ‘Masjid Quba.’
Rejea Qur’an (9:108).
- Mtume alifika Madinah (Yathrib), Oktoba 622 A.D.
- Kwa heshima ya Mtume (s.a.w) Madinah ikapewa jina la Madinatun-Nabii (mji wa Mtume) na Al-Madinah Al-Munawwarah (mji ung’aao).
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Pili, Maquraish walimuendea Mtume(s.
Soma Zaidi...Historia na sifa ya Mtume Muhammad s.a.w , sehemu ya 14. Hapa utajifunza kuhusu kazi alizozifanya Mtume s.a.w Enzo za ujana wake kabla ya utume.
Soma Zaidi...Bara arabu zama za jahiliyyah (EDK form 2 dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...