picha

Ijuwe platform ya IndexNow

Je umeshawahi kuweka post yako kwenye blog halafu ikachukuwa mpaka siku 3 kuonekana kwenye search engine kama Google, Index ama Bing. Bsi project ya IndexNow imekuja kutatuwa tatizo hilo

 
 
Katika pirikapirika zangu za ku explore bing webmaster nikakuta kuwa profile ya website ina issue ambayo ni kuwa haijaunganshwa wenye IndexNow. Kwa maelezo ya haraka ni kuwa hii ni platform ambayo inawezesha kwa haraka kupeleka taarifa kwa search engine kuhusu mabadiliko ya maudhui kwenye website yako.
 
 
Mfano umeweka post mpya ama ume update post ya zamani. Sasa kama hiyo post umeunganisha kwenye index nao wanasema inafikiwa kwa haraka na search engine.
 
 
Hata hivyo katika search engine hizo ni kama bng na yandex ila Google bado hajaikubali hata hivyo kuna tetesi kuwa wanataka kuiunga mkono.
 
 
IndexNow imelenga kutatuwa tatizo la post kuchukuwa muda mrefu pila ya kuonekana kwenye search engine. Hivyo kwa project hii maudhui yatachukuwa muda mfupi sana haweza kuonekana kwenye search engine.
 
 
Kwa maelezo zaidi wacheki kwenye website yao:
https://www.indexnow.org/documentation

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Mahede image Tarehe: 2024-08-06 Topic: General Main: ICT File: Download PDF Views 589

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 kitabu cha Simulizi    👉2 Simulizi za Hadithi Audio    👉3 Bongolite - Game zone - Play free game    👉4 web hosting    👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉6 Madrasa kiganjani   

Post zinazofanana:

Je unahitaji kutengenezewa Android App

Bongoclass tunatoa Fursa ya kupata huduma ya kutengenezewa App

Soma Zaidi...
Changamoto wanazokutana nazo wanafunzi wa tehama

Hizi ni baadhi ya changamoto wanazokutana nazo wanafunzi wa tehama kwenye darasa la Bongoclass

Soma Zaidi...
Ifahamu Y2K yaani year 2000 bug

Moja katika changamoto iliyowahi kusumbuwa dunia kutokana na maendeleo ya tehama duniani.

Soma Zaidi...
PHP - somo la 28: Maana ya constant kwenye php na kazi zake

Katika somo hili utajifunza kuhusu maana ya constanta pamoja na matumizi yake. Pia utazijuwa sheria za uandishi wa constant

Soma Zaidi...
Wajuwe wanasanyansi na lugha za kompyuta walizoanzisha

Hii ni list ya wataalamu wa kompyuta amba ni wagunduzi wa lugha zaidi ya 20 za kompyta.

Soma Zaidi...
Asilimia 77.2% ya website zinatumia PHP kama server side.

Kuna server side language nyingi ikiwepo java, php, python, dart na nyinginezo nyingi. Hata hivyo PHp bado inaedelea kuwa maarufu.

Soma Zaidi...
Meme ni nini

Watu wangi wnekuwa wakitumia meme, ila bila ya kujuwa nini hasa hizo meme. Na hasa Zina matumizi gani

Soma Zaidi...
Njia ya haraka ku download video za Youtube

Katika post hii utakwenda kujifunza hatuwa kwa hatuwa za ku download video za Youtube kwa haraka.

Soma Zaidi...
Utofauti wa deep web, dark web na surface web

Umeshawahi kujiuliza Nini hasa tofauti kati ya deep web, surface web na dark web.

Soma Zaidi...