Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu Cross - Orgn Resource Sharing ama inafupishwa kama CORSE header
CORSE header:
CORS ni kifupisho cha maneno (Cross - Orgn Resource Sharing) hii ni miongoni mwa header ambazo zina nafasi kubwa sana katika usalama wa API. yenyewe ina kazi ya kuthibiti ni nani ana haki ya kupata response kutoka kwenye server. Kwa ufupi ni kuwa CORS inweza kuangalia origini ama asili ya request. Sasa kama hiyo request imefanywa nje ya website husika CORSE header inaweza kuzuia response ama kuruusu kulingana na condition ziizowekwa.
Mfano mzuri nina App ambayo inatumia data kutoka kwenye website yangu. Sasa kwanza nnaweza kucheki je hiyo request imetoka kwenlikwenye hiyo app. Kama haijatokka huk basi CORS itawez akuzuia.
Aina za CORS header:
Access-Control-Allow-Origin
Hii inatumia value ya (*) na kazi yake ni kuruhusu request kutoka popote pale.ata programmng alama hii huitwa wildcard endapo itatumika kuruhusu kila kitu bila ya kubaguwa. Hata hivyo jina lake hiyo nyota huitwa asteric kwa matumizi ya kawaid.. Ina maana request hapa haiangaliwi imetoka wapi, bila ya kujali response itapatikana.
Mfano:
header('Access-Control-Allow-Origin: *');
Na ama unataa uruhusu utoa wneye source maalumu mfano webste bas taubd utuma server variable l upata hyo doman.
Mfano:
header("Access-Control-Allow-Origin: {$_SERVER['HTTP_ORIGIN']}");
Access-Control-Allow-Methods
Hii yenyewe inakwenda kuangalia kama method ndio inayotakiwa. Mfano kama request inatakiwa iwe kwa GET na ikaja kwa Post hivyo hapa itakataliwa.
Mfano:
Access-Control-Allow-Methods: GET, POST, PUT, DELETE
Hapo juu request taruhusu method zote hzo. Ama unataa mojawapo utawea hyo tu.
header("Access-Control-Allow-Methods: GET");
Access-Control-Allow-Headers
H yenyewe nawenda uzua header flan ama uruhusu. Mfanounaweza uzua ama request hana authorzaton header ama tulvyojfunzasomo lllopta. Kama zikiwa nyingi utazitenganisha kwa alama ya koma (,)
Mfano:
header("Access-Control-Allow-Headers: Content-Type, Authorization, X-Requested-With");
Ama kama unataka kuruhusu zote utatumia alama ya nyota (*) yaani wildcard ili kuruhusu header zite
Mfano:
header("Access-Control-Allow-Headers: *");
">...
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiw ana App yetu. Bofya liln hapo chini kuweza ku download
Download NowJe! umeipenda hii post?
Ndio Hapana Save post
Rajabu Tarehe 2024-08-06 21:09:52 Topic: PHP Main: Masomo File: Download PDF Share On Facebook or Whatsapp Views 221
Sponsored links
👉1
Kitau cha Fiqh
👉2
Madrasa kiganjani
👉3
kitabu cha Simulizi
👉4
Simulizi za Hadithi Audio
👉5
Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
👉6
Kitabu cha Afya
PHP somo la 91: Mambo ya kuzingatia unapokuwa unashughulika na data za json
Haya ni mabo ya kuzingatia unapo encode ama ku decode data za json Soma Zaidi...
PHP somo la 58: static method kwenye PHP
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu static method na inavtotumika kwenye OOP Soma Zaidi...
PHP somo la 90: Jinsi ya kutumia json data kama blog post
Katika somo hili utaweza kujifunza ni kwa nambna gani utaweza kutengeneza blog post na kuisoma kwa kutumia data za json Soma Zaidi...
PHP somo la 79: Custom header
Katika somo hili utakwenda kuhifunza kuhusu Custom header na aina zake Soma Zaidi...
PHP - somo la 8: jinsi ya kuandika constant kwenye PHP
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuandika constant kwenye PHP. Pia utajifunza utofauti wake na variable Soma Zaidi...
PHP somo la 89: Jinsi ya kutumia data za json kwenye program ya php na html
Katika somo hili utakwend akujifunza ni kwa namna gani utaweza kuzitumiadata za jsonkwenye program yako Soma Zaidi...
PHP somo la 49: utangulizi wa Object Oriented Programming katika PHP
Huu ni mwendelezo wa mafunzo ya PHP na hapa tunaaza rasmi advanced PHP. tutakwenda kuingia ndani zaidi kwenye PHP. Ni vyema kabla ya kuanza course hii ya advanced PHP uwe una uelewa wa kutosha kuhusu mafunzo yetu ya PHP. Soma Zaidi...
PHP somo la 70: jinsi ya kutuma email yenye html, picha na attachment
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutuma email ambayo ina HTML, pia utajifunza kutuma email yenye picha na attachment nyinginezo kama pdf Soma Zaidi...
PHP - somo la 10: Jinsi ya kundika condition statement if, ifelse na switch case
Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu condition statements if, ifelse na switch case. Hata utajifunza jnsi ya kuziandika na zinavyofanya kazi Soma Zaidi...
PHP - somo la 27: aina za variable kwenye PHP
Katika somo hili utakwenda kujifunza aina kuu 3 za variable katika PHP mabzo ni local variable, global variable na static variable. Soma Zaidi...