picha
AINA ZA VYAKULA SOMO LA 17: FAIDA ZA KULA EMBE

Katika somo hili utakwenda kujifunza faida za kiafya za kula tunda embe

picha
AINA ZA VYAKULA SOMO LA 16: FAIDA ZA KULA CHUNGWA NA CHENZA

Katika somo hili utakwend akujifunza faida za kiafya za kula tunda la chungwa na chenza.

picha
AINA ZA VYAKULA SOMO LA 15: FAIDA ZA KUNYWA CHAI YENYEMAJANI YA CHAI

Katika somo hili utakwenda kujifunza faida za kiafya za kunywa chai. Hapa tunazungumzia chai yenye majani ya chai

picha
AINA ZA VYAKULA SOMO LA 14: FAIDA ZA KULA MABOGA

Katika somo ili utakwenda kujifunza kuhusu faida za kiafya zakula maboga. Utajifunza virutubisho vinavyopatikana kwenye maboga.

picha
AINA ZA VYAKULA SOMO LA 13: FAIDA ZA BAMIA

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu faida za bamia mwilini

picha
AINA ZA VYAKULA SOMO LA 12: FAIDA ZA ASALI MWILINI

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu faida za asali mwilini

picha
AINA ZA VYAKULA SOMO LA 11: VYAKULA VYA VTAMINI K

katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu vitamini K, kazi zake mwilini, athari za upungufu wake, na vyakula vyenye vitamini K...

picha
ANA ZA VYAULA SOMO LA 10: VYAULA VYA VITAMINI E

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu vitamini E, kazi zake mwilini, vyakula vyenye vitamini E pamoja na madhara ya kutokuwa...

picha
AINA ZA VYAKULA SOMO LA 9: VYAKULA VYA VITAMINI D

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu vitamini D, kazi zake, vyanzo vyake na upungufu wake mwilini.

picha
AINA ZA VYAKULA SOMO LA 8: VYAKULA VYA VITAMINI C

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu vitmini C, kazi zake mwilini, na vyakula vya vitamini C.

picha
AINA ZA VYAKULA SOMO LA 7: VYAKULA VYA VITAMINI B

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu vyakula vya vitamini B, kazi za vitamini B na chanzo cha vitaini B. Pia...

picha
AINA ZA VYAKULA SOMO LA 6: VYAKULA VYA VITAMINI A

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu vitamini A, chanzo chake, upungufu wake na faida zinazopatikana kwenye mwili kutokana na vitamini...

picha
AINA ZA VYAKULA SOMO LA 5: VYAKULA VYENYE MAJI MENGI, FAIDA ZAKE NA KAZI ZAKE

Katika makala hii utakwenda kujifunza kuhusu maji, faida zake na upungufu wake. Pia utajifunza vyakula vyenye maji kwa wingi

picha
AINA ZA VYAKULA SOMO LA 4: VYAKLA VYA WANGA YAANI CARBOHYDRATES

Katika post hii utakwenda kujifunza kuhusu vyakula vya wanga, kazi zake, faida zake na upungufu wake.

picha
AINA ZA VYAKULA SOMO LA 3: VYAKULA VYA FATI, MAFUTA NA LIPID

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhus vyakula vya fati, kazi zake na vyanzo vyake.

picha
AINA ZA VYAKULA SOMO LA 2: VYAKULA VYA PROTINI

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu vyakula vya protini, faida zake na vyanzo vyake.

picha
AINA ZA VYAKULA SOMO LA 1: NINI MAANA YA CHAKULA NA NI ZIPI AINA ZAKE?

Katika post hii tutakwenda kujifunza kuhusu maana ya chakula, virutubisho na aina zake.

picha
FLUTTER SOMO LA 20: JINSI YA KU SIGN APP YA ANDROID KWENYE FLUTTER

Somo hili litakufundisha hatuwa kwa hatuwa jinsi ya ku sign app ya android kwenye flutter

picha
TAJWID SOMO LA 22: HUKUMU ZA SIJDAT TILAWA

Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu sijda zinazotokea wakati wa kusoma Quran.

picha
TAJWID SOMO LA 21: HUKUMU ZA MADD FAR’IY

Katika somo hili utakwend akujifunz akuhusu madd far’iy katika usomaji wa Quran tajwid.

picha
TAJWID SOMO LA 20: HUKUMU ZA MADD TWAB'IY YAANI MADD YA ASILI

Katika somo hili utakwend akujifunza kw akirefu kuhusu madd twab’iy yaani madd za asili.

picha
TAJWID SOMO LA 19: HUKUMU ZA MADD NA AINA ZAKE

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu madd na aina zake. Utajifunza herufi za madd na umuhimu wa madd katika tajwid.

picha
TAJWID SOMO LA 18: HUKUMU ZA WAQF WAL IBTIDAI

Katika somo hili utakwend akujifunz akuhusu hukumuza waqfu katika usomajiwa quran.

picha
TAJWID SOMO LA 17: HUKUMU ZA IDGHAM NA IDHHAR KATIKA LAAM.

Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu hukumu idgham na idhhar katika laam.

Page 29 of 228

Kuhusu Bongoclass

image

Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.