picha
FAIDA ZA KIAFYA ZA KULA MIWA

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula miwa

picha
FAIDA ZA KIAFYA ZA STAFELI/SOURSOP

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za stafeli ama soursop

picha
FAIDA ZA KUNGUMANGA/NUTMEG

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula kungumanga

picha
FAIDA ZA KIAFYA ZA TOPETOPE (ACCUSTARD APPLE/SWEETSOP)

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula topetope

picha
NAOMBAKUJUA KUJUA KAMA HUU UYOGA UNASAIDIA KANSA KAMA KWAWAZEE

Mpaka sasa hakuna dawa ya kuponyesha saratani wala kinga ya saratani. Hata hivyo vipo vyakula ambavyo vinakadiriwa kuwa hupunguza hatari ya kuweza kupata saratani. Je unadhani uyoga ni moja ya vyakula hivyo?

picha
FAIDA ZA KIAFYA ZA PEAZ/ PEAS

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula peazi

picha
FAIDA ZA KULA FYULISI/PEACH

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula fyulisi/ peach

picha
FAIDA ZA KIAFYA ZA KULA PANZI, SENENE NA KUMBIKUMBI

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula senene, panzi na kumbikumbi

picha
FAIDA ZA KULA PASSION

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula passion

picha
FAIDA ZA MCHAICHAI/ LEMONGRASS

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za mchaichai

picha
FAIDA ZA KIAFYA ZA KULA MAGIMBI/ TARO ROOTS

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula magimbi

picha
FAIDA ZA KITUNGUU MAJI/ ONION

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu umuhimu wa kitunguu maji mwilini

picha
FAIDA ZA KIAFYA ZA KULA BIRINGANYA (EGGPLANT)

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula biringanya eggplant)

picha
FAIDA ZA KIAFYA ZA KULA NYAMA

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula nyama

picha
FAIDA ZA KIAFYA ZA KULA SAMAKI

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula samaki

picha
FAIDA ZA KIAFYA ZA KULA MAHINDI

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula mahindi

picha
FAIDA ZA KIAFYA ZA KULA MAYAI

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula mayai

picha
FAIDA ZA KULA MAINI

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za kula maini

picha
JE? NAOMBA KUULIZA MKEWANGU ALI INGIYA KWENYE HEZI SIKU TATU DAMU IKAKATA NIKAKUTANA NAE SIKU YA NANE JE? ANAWEZA PATA UJAUZITO

Idadi ya siku hatari za kupata mimba hutofautiana kutoka kwa mwanamke mmoja namwinhine. Kinda ambao idadivyavsikuvzao za hatari ni nyingi kuliko wengine.

picha
AY NI IV KIPIMO CHA MIMB UANZ KUTOA MAJB NDAN YA MDA GAN WIK MWEZ AU IKO VIPI?

Kipimo cha Mlimba huweza kuonyesha mimba changa mapema sana. Pia ni rahisi kutumia na kinapatikana kwa bei nafuu. Je ungeoendavkujuwa ni muda gani kinatoa majibu sahihi?

picha
JE UTAMBUZI WA MAAMBUKIZI YA UKIMWI HUPATIKANA MDA GANI PALE MTU ANAPOAMBUKIZWA

Kuna ukimwi na HIV na kila kimoja kina dalili zake na muda wa kuonyesha hizo dalili.

picha
TUSEME NILIFANYA NGONO JANA NA LEO NIPATA PERIOD,JE KUNA UWEZEKANO WA KUPATA MIMBA

Mimba inatungwa katika siku maalumu na hazizidi 10. Sio kila ukishiriki tendo unaweza pata mimba. Je unaweza kupata mimba baada ya kushiriki tendo wiki moja kabla ya kuingia hedhi?

picha
MTOTO ANAANZ KUCHEZA KWA MDA GAN

Kuna watoto wengine huanza kucheza mapema kuliko watoto wengine. Tunapozungumzia kucheza kwa mtoto aliye tumboni yaani mimba hapa inatubidi tuangalie kwa undani zaidi, je ni muda gani mtoto ataanza kucheza?

picha
KIFUWA KINANIUMA KATIKATI KINAAMBATANA NAKICHWA

Maumivu ya kifuwa yanaweza kutokea baada ya kubeba kitu kizito, ama kupata mashambulizi ya vijidudu vya maradhi. maumivu ya viungo na hata vidonda vya tumbo. Lakini sasa umesha wahi fikiria maumivu ya kifuwa kwa katikati?

Page 212 of 219

Kuhusu Bongoclass

image

Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.