Mgawanyo sahihi wa elimu kwa mtazamo wa uislamu

Ni upi mgawanyo sahihi wa elimu katika uislamu? Nini naana ya elimu ya muongizo. Je elimu ya mazingiravmaana yakeni nini. Ni upi utofauti wa elimu ya muongozo na elimu ya mazingira?

Mgawanyo Sahihi wa Elimu kwa Mtazamo wa Uislamu.


 -   Kwa mtazamo wa Uislamu elimu imegawanyika katika nyanja kuu mbili;

1. Elimu ya Mwongozo (Faradh ‘Ain).


-   Ni elimu ya lazima ambayo kila muislamu (mtu) anapaswa kuisoma, haina uwakilishi. Mfano ibada za swala, funga, hijja, zakat, n.k. 

2. Elimu ya Mazingira (Faradh Kifaya). 


-   Ni elimu ya uwakilishi ambapo wakisoma wachache katika jamii inatosheleza    lakini wasipopatikana wa kuwakilisha, jamii yote itawajibika. 

Mfano fani ya Udaktari, Uinjinia, Ualimu, Urubani, n.k.Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2021-11-03     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 231


Download our Apps
👉1 kitabu cha Simulizi     👉2 Madrasa kiganjani     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 Kitau cha Fiqh    

Post zifazofanana:-