Aliyepaliwa na maji huduma ya kwanza itakuwaje

Aliyepaliwa na maji huduma ya kwanza itakuwaje

Vipi utamsaidia mti ambaye amepaliwa na maji? Post hii itakwenda kukifundisha jambo hili.

🐦 Swali

Aliyepaliwa na maji huduma ya kwanza itakuwaje

 

Jibu: 

👉 Kupaliwa na maji kunaweza kutokea endapo maji yataingia kwenye tundu la hewa wakati wa kunywa. Poa hutokea ukapaliwa na mate wakati wa kuzungumza. 

 

👉 Ikiwa mtu amepaliwa na mate au maji ndani ya sekunde kadhaa,  atarudi katika hali ya kawaida. Yaan hali ya kupaliwa itaondoka. 

 

👉 Endapo hali hiyo itakuwa ni endelevu kwa sekinde nyingi zaidi unatakiwa kumsaidia. Kumsaidoa kwake ni kumpigapiga upande wa mgongoni juu kidogo maeneo ya mabegani. 

 

Kumpigapiga huki kutaweaa kusukuma kilichaompalia nje. Omba msaada wa watu wengine endapo hali itakuwa endelevu kwa dakika moja. 

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Huduma Main: Post File: Download PDF Views: 3352

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Bongolite - Game zone - Play free game     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 kitabu cha Simulizi     👉5 Kitabu cha Afya     👉6 web hosting    

Post zinazofanana:

Upungufu wa maji

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu madhara ya upungufu wa maji mwilini

Soma Zaidi...
Sababu za kumsafisha mgonjwa kinywa

Posti hii inahusu zaidi sababu za kumsafisha mgonjwa kinywa, Mgonjwa akiwa anaumwa na pia anakula chakula ni lazima asafishwe kinywa Ili kuweza kuepuka madhara mengine yanayoweza kujitokeza kwa sababu ya kuwepo kwa uchafu kinywani.

Soma Zaidi...
Huduma ya kwanza kwa mtu aliyekula sumu

Post hii inahusu zaidi kutoa huduma ya kwanza kwa mtu aliyekula chakula chenye sumu, kula sumu ni kitendo Cha kula kitu chochote kama dawa,pombe, kemikali na chakula kichafu.

Soma Zaidi...
Hizi ni kazi za mapafu mwilini

Makala hii itakwenda kukufundisha kazi 5 za maafu mwilimi. Wengi tunajuwa tu kuwa mapafu yanafanya kazi ya kupumuwa. ila si hivyo tu yapo mengi zaidi.

Soma Zaidi...
Mbinu za kutoa huduma ya kwanza kwa wagonjwa walio na majeraha ya macho.

Posti hii inaelezea kuhusiana na mbinu za kutoa huduma ya kwanza kwa walio na majeraha ya macho kutokana na aina mbalimbali ya jeraha

Soma Zaidi...