Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za UKIMWI
DALILI ZA UKIMWI.
Mpaka kufikia hapa ndipo mgonjwa huambiwa ana UKIMWI. Kumbuka mpaka kufikia hapa tayari miaka Zaidi ya mine hadi 10 itakuwa imepita. Baadhi ya tafiti zinaonyesha kuwa endapo mgonjwa hatatumia matibabu maalubu ya ARV hatoweza kuzidi miaka 3. Sasa hebu tuzione dalili na Ishara za UKIMWI katika hatua hii:-
1.Kutokwa na jasho jingi wakati wa usiku
2.Kutetemeka kwa homa au Homa juu inayofikia nyuzi 100 F (38 C) na kudumu kwa wiki kadhaa
3.Kikohozi
4.Kupumua kwa pumzi za taabu
5.Kuhara kusiko kata
6.Utando mweupe wa kudumu au vidonda visivyo vya kawaida kwenye ulimi wako au kinywani mwako
7.Maumivu ya kichwa mara kwa mara
8.Uchovu wa kudumu, usioelezewa
9.kuona maluweluwe
10.Kupungua uzito bila ya sababu maalumu
11.Vipele kwenye ngozi au majipu
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowNENO LA AWALI Hapa utaweza kujifunza mambo mengi kuhusu vidonda vyatumbo.
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kujibu swali linalosema je ni bakteria aina gani husababisha igonjwa wa pumu.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyanzo m ali mbali vinavyohisiwa kuwa chanzo cha UKIMWI
Soma Zaidi...Kisukari cha Aina ya 1, ambacho wakati mmoja kilijulikana kama Kisukari cha changa au Kisukari kitegemeacho insulini, ni hali sugu ambapo kongosho hutoa insulini kidogo au haitoi kabisa, homoni inayohitajika kuruhusu sukari (glucose) iingie kwenye se
Soma Zaidi...Kaswende ni maambukizo ya bakteria ambayo kawaida huenezwa kwa kujamiiana. Ugonjwa huu huanza kama kidonda kisicho na maumivu kawaida kwenye sehemu zako za siri, puru au mdomo. Kaswende huenea kutoka kwa mtu hadi mtu kupitia ngozi. Kaswende ya Mapema
Soma Zaidi...Poliomyelitis ni kuvimba kwa suala la kijivu la uti wa mgongo na wakati mwingine sehemu ya chini ya ubongo
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na mambo hatari yanayosababisha ugonjwa wa moyo.
Soma Zaidi...Hivi umeshawahi kuwazakuwa jekipimo cha HIV ni sahihi kwa kiasi gani. Unadhani huwa kinakoseaga kutoa majibu?
Soma Zaidi...