picha
DALILI ZA MIMBA CHANGA KUTOKA

Post hii inaenda kuzungumzia zaidi kuhusiana na mimba zinazoharibika . mimba huweza kuaribika au kutoka anzia miezi 3 na kuendelea...

picha
DALILI ZA UKIMWI, UNAVYOENEZWA NA NJIA ZA KUJIKINGA

Ukimwi ni upungufu wa kinga mwilini.unasababishwa na virusi ambavyo hutokea kwa mtu mwingine kwa njia mbalimbali

picha
DALILI YA PRESSURE YA KUPANDA

Post ya leo inaenda kufundisha dalili na hatari za presha ya kupanda. Presha ni ugonjwa unaosababishwa na baadhi ya vitu...

picha
VYAKULA MUHIMU KWA KULINDA AFYA YA MACHO - EPUKA UPOFU KWA KULA VYAKULA HIVI

Matatizo ya macho yanaweza kuruthiwa kutoka kwa wazazi kwenda kwa mtoto. hata hivyo shughuli zetu na vyakula tunavyokula vinaweza kuchangia...

picha
VIPI UTAEPUKA MAUMIVU YA KICHWA YA MARA KWA MARA?

maumivu ya kichwa ni moja ya dalili za kiafya ambazo huashiria hali isiyo ya kawaida. hata hivyo maumivu ya kichwa...

picha
SABABU ZA KUUMWA NA TUMBO, CHINI YA KITOMVU AMA UPANDE WA KULIA

Post hii inakwenda kukutajia baadhi tu ya sababu zinazopelekea kuumwa na tumbo. Hali hizi zinawweza kuwapata watu wa jinsia zote...

picha
MAFUNZO YA DATABASE MYSQL NA SQL SOMO LA 1

Karibu tena katika mafunzo yetu, na huu ni mwanzo wa mafunzoya DATABASE kwa kutumia MYSQL kwa lugha ya kiswahili. Na...

picha
NI NINI MAANA YA MLO KAMILI?

Mlo kamili ni mkusanyiko kuu wa vyakula mbalimba kwa pamoja huimarisha na kuujenga  mwili wa binadamu na wanyama kwa sababu vinaleta virutubishi vyote vinavyohitajika.  Mkusanyiko wa vyakula vinavyotengeneza mlo...

picha
DALILI ZA MAMA MJAMZITO AKIKARIBIA KUJIFUNGUA

Post hii inazungumzia mama wajawazito Mara tu mama anapohisi kuwa yeye ni mjamzito anashauriwa kuanza clinic.na clinic hizi zinasaidia kuwapatia wakina...

picha
DALILI NA SABABU ZA KUKOSA HEDHI

Post hii inaongelea kuhusiana na Kukosa hedhi ambapo kitaalamu hujulikana Kama Amenorrhea ni kutokuwepo kwa hedhi - hedhi...

picha
MAUMIVU YA MGONGO.

Post yetu Leo inaenda kuzungumzia Maumivu ya nyuma ni malalamiko ya kawaida. Kwa upande mkali, unaweza kuchukua hatua...

picha
SARATANI YA MATITI (BREASTS CANCER)

Post yetu inaenda kuzungumzia kuhusiana na Saratani ya Matiti ni Saratani ambayo hutokea katika seli za matiti. Baada ya Saratani ya Ngozi, Saratani ya matiti ndiyo Saratani inayojulikana zaidi hugunduliwa...

picha
UPUNGUFU WA DAMU MWILINI

Post inaenda kuzungumzia kuhusiana na upungufu wa damu mwilini ambapo tutaona SABABU na dalili zake lakin upungufu wa damu mwilini...

picha
VYAKULA KWA WAGONJWA WA SUKARI NA UTARATIBU WAO WA LISHE

Post hii inakwenda kukufundisha utaratibu wa lishe kwa wagonjwa wenye kisukari pamoja na vyakula salamakwao.

picha
FAIDA NA HASARA ZA KUTUMIA UZAZI WA MPANGO

Tunaposema uzazi wa mpango, tunamaanisha ile hali ya kuachanisha muda kutoka mtoto hadi mwingine. Inatakiwa angalau mtoto na mtoto wapishane...

picha
JE FANGASI IKIKAA KWA MUDA MREFU BILA KUTIBIWA INA MADHARA GANI?

Je umeshawaho kujiuliza maswali mengi kihusu fangasi?. Huyu hapa ni mmoja katika waulizaji waliopata kuuliza rundo la maswali haya. Soma...

picha
MATIBABU YA FANGASI UKENI NA DAWA ZA FANGASI WANAOSHAMBULIA UKE.

Fangasi wanaweza kushambulia uke, kwa juu kwenye mashhav ya uke ama kwa ndani. Hali hii inaweza kusababisha miwasho na maumivu...

picha
DAWA YA KUTIBU FANGASI WA KWENYE MDOMO NA KINYWA

Zipo dawa nyingi ambazo hufahamika katika kutibu fangasi kwenye mdomo ama kinywa. Miongoni mwa dawa hizo hapa nitakuletea baadhi yao....

picha
FAIDA KUU 10 ZA KULA MATUNDA NA MBOGA MWILINI - KWA NINI NI MUHUMU KULA MATUNDA?

Makala hii inakwenda kukutajia sababau kuu 10 ambazo zinaonyesha umuhimu wa kula matunda kiafya. kwa nini kiafya unashauriwa ule matunda...

picha
DAWA ZA KUTIBU FANGASI KWENYE KUCHA

Makala hiii inakwenda kukueleza dawa za kutibu fangasi kwenye kucha.

picha
JE INAWEZA UKAINGIA PERIOD WAKATI UNAUJAUZITO?

Ukiwa mjamzito unaweza kushuhudia kutokwa na damu. Je damu hii ni ya hedhi?

picha
NINATATIZO LA MIGUU KUUMA NIMEPIMA WANASEMA SELI NYEUPE ZA DAMU IPO CHINI SANA SASA NAULIZA DAWA HIZI ZA VITAMIN K NA SINDANO VINAWEZA NISAIDIA?

Upungufu wa damu ni tatizo la kiafya, lakini kupunguwa seli nyeupe za damu ni tatizo zaidi, nikwa sabaabu seli hizi...

picha
NINAISI KMA KUNAKITU KWENYE KOO ALAFU KUNA ALI YA WEUPE KWENYE ULIMI NA MASHAVU KWA NDAN

Weupe kwenye ulimi unaweza kuwa ni hali ya kawaida. Weupe huu ukichanganyika na utandu huwenda ikaashiria uwepo wa hali fulani...

Page 198 of 230

Kuhusu Bongoclass

image

Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.