Vipi utaepuka maumivu ya kichwa ya mara kwa mara?
maumivu ya kichwa ni moja ya dalili za kiafya ambazo huashiria hali isiyo ya kawaida. hata hivyo maumivu ya kichwa yanaweza kutokea hata kama sio mgonjwa. Hapa nitakuletea sababu zinazopelekea kuumwa na kichwa mara kwa mara.Maumivu
Zifuatazo zinaweza kuwa ni sababu za kuumwa na kichwa mara kwa mara. Sababu hizi ni zile ambazo haziambatani na maradhi katika mwili wako. kama maumivu yako yanasababishwa maoja ya sababu hizi huwa hayachukui muda yanapoa punde tu baada ya kuhakikisha sababu umeiondoa:-
1. Kutokunywa maji mara kwa mara
2. Kuwa na misongo ya mawazo
3. uchovu
4. Kukosa usingizi kwa muda ama kutokulala vya kutosha
5. hali ya hewa kwa mfano kuzidi kwa joto
6. mazingira kwa mfano mazingira yasiyo tulivu
Pia maunivu yanaweza kuwa yamesababishwa na maradhi. Kwa mfano malaria, UTI, na maradhi mengineyo. Kama maumivu yako yanaababishwa na maradhi hakikisha unafika kituo cha afya kwa matibabu na vipimo.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Madrasa kiganjani 👉2 ai web app 👉3 Simulizi za Hadithi Audio 👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉5 Bongolite - Game zone - Play free game 👉6 Kitau cha Fiqh
Post zinazofanana:
Zijue kazi za ovari
Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa ovari kwenye mwili wa mwanamke. ovari ni sehemu ambapo mayai ya mwanamke hutunza, kwa hiyo kila mwanamke huwa na ovari ambayo husaidia kutunza mayai.
Soma Zaidi...Kwanini mdomo unakuwa mchungu
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za mdomo kuwa mchungu
Soma Zaidi...Ntajilinda vipi na magonjwa ya meno
Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kujilinda na magonjwa ya meno
Soma Zaidi...Makundi manne ya damu na jinsi yanavyotumika
Post hii inahusu zaidi umuhimu wa makundi manne ya damu na jinsi yanavyotumika, Ni magroup manne ya damu ambayo husaidia kuongeza damu kwa mtu ambaye amepungukiwa damu
Soma Zaidi...Sababu za maumivu ya mwili.
Posti hii inahusu zaidi sababu ya kuwepo kwa maumivu ya mwili kwa sababu tunaweza kuhisi maumivu kwenye sehemu za mwili kwa sababu mbalimbali kama tutakavyoona hapo chini
Soma Zaidi...