Ukimwi ni upungufu wa kinga mwilini.unasababishwa na virusi ambavyo hutokea kwa mtu mwingine kwa njia mbalimbali
Dalili za Ukimwi
1. Upungufu wa kinga mwilini
2. Homa za mara kwa mara
3. Kupungua uzito
4.kutapika na kuharisha
5. Kuwa na upele kwenye midomo na sehemu mbalimbali za mwili
Namna ukimwi unavyoenezwa
1. Kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto wakati wa kujifungua
2. Kutumia vitu vyenye ncha kali vilivyotumiwa na mtu zaidi ya mmoja
3. Kubadilishana damu kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine
4. Ngono zembe
Namna ya kuepuka ugonjwa huu
1.Kila mtu atumie kifaa chake hasa vyenye ncha kali
2. Amina mama wote wanapaswa kuhudhulia kliniki na kujifungulia hospitalin
3, kuacha a na ngono zembe
4, kupima damu vizuri wanopompatia mgonjwa.
Kwa ujumla ugonjwa huu hauna dawa tuwe na tahadhari kwa kufuata masharti.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za minyoo na sababu zake
Soma Zaidi...MATIBABU YA VIDONDA VYA TUMBO Matibabu ya vidonda vya tumbo inategemea sababu.
Soma Zaidi...Ugonjwa wa kula kupindukia ni ugonjwa mbaya wa ulaji ambapo mara kwa mara unatumia kiasi kikubwa cha chakula na kuhisi huwezi kuacha kula.
Soma Zaidi...Somk hili linakwenda kukueleza kuhusu Mambo mbalimbali yahusuyo HIV na UKIMWI
Soma Zaidi...Katika post hii utajifunza kuhusu ugonjwa wa vitiligo, chanzo chake, dalili zake na matibabu yaje
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu athari za kutokutibu fangasi
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ya kutotibu maambukizi chini ya kitovu ni madhara ambayo yanaweza kutokea kwa mgonjwa pale ambapo matibabu yanapokuwa hayatolewi kwa mgonjwa wa maumivu chini ya kitovu.
Soma Zaidi...UGONJWA WA GONORIA NA DALILI ZAKE (GONORRHEA)Gonoria (gonorrhea) ni katika maradhi yanayoambukizwa kwa njia ya ngono.
Soma Zaidi...