Post ya leo inaenda kufundisha dalili na hatari za presha ya kupanda. Presha ni ugonjwa unaosababishwa na baadhi ya vitu mbalimbali.pressure hujulikana kwa jina lingine ambolo ni hypertension (pressure ya kupanda). presha hugundulika pale ambapo presha ya
Swali;je nitagunduaje kuwa Nina presha ya kupanda?
Dalili za pressure ni
1.mapigo ya moyo kwenda haraka
2.kupumua kwa shida
3.damu kutoka puani
4.kichwa kuuma
5.Kuishiwa nguvu
6.Jashi kutoka kwa wingi
Tuone watu walioko hatari ya kupata presha
1.kuwa na mawazo mengi yasiyoisha
2.unene
3.kufanya mazoezi kupita kiasi
4.umri mkubwa
6.kula vyakula vyenye chumvi nyingi kupita kiasi
7.kuvuta sigara
8.kunywa pombe
9.familia yaan Mara nyingi tunasema Kurithi
10.kuwa na magonjwa sugu Kama kisukari.nk.
Mwisho;presha ni ugonjwa unaotibika Kama ukiwahi hospitali,Kutumia dawa vizuri bila shida na kufata masharti lakini pia ni ugonjwa ambao usipofata mashart unaweza kufa Tena kimya kimya maana ugonjwa huu sio rahisi kujulikana kw haraka.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inaonyesha Dalili na ishara za kuvimba kope ambayo kitaalamu hujulikana Kama blepharitis.
Soma Zaidi...KUJIANDAA KWA AJILI YA KUMUONA DAKTARI Fanya miadi na daktari wako wa kawaida ikiwa una ishara au dalili zinazokupa wasiwasi.
Soma Zaidi...Makala hii inakwenda kukupa majibu ya maswali mengi kuhusu VVU na UKIMWI. tutakwenda kuona kwa ufupi historian a chanzo cha VVU na UKIMWI. hatuwa za maambukizi ya VVU na ukimwi na dalili zake za kuonekana toka kupata maambukizi. Pia hapa utajifunza namna
Soma Zaidi...Kaswende ni maambukizo ya bakteria ambayo kawaida huenezwa kwa kujamiiana. Ugonjwa huu huanza kama kidonda kisicho na maumivu kawaida kwenye sehemu zako za siri, puru au mdomo. Kaswende huenea kutoka kwa mtu hadi mtu kupitia ngozi. Kaswende ya Mapema
Soma Zaidi...Posti hii inaelezea kuhusiana na Damu kutokuganda ambalo hujulikana Kama Hemophilia, ni ugonjwa nadra ambapo damu yako haigandi kawaida kwa sababu haina protini za kutosha za kuganda. Ikiwa una tatizo la Damu kutokuganda, unaweza kuvuja damu kwa muda mre
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia zinazotumika ili kuangalia Maambukizi kwenye mifupa.
Soma Zaidi...Post hii itakwenda kuangalia mlo sahihi wa mwenye vidonda vya tumbo. Hata utajifunza ni vyakula vipi hapaswi kula na vipi ana paswa kula.
Soma Zaidi...Mawe kwenye figo yana sababu nyingi na yanaweza kuathiri sehemu yoyote ya njia yako ya mkojo kutoka kwa figo hadi kibofu chako.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi Ugonjwa wa ukoma ni Ugonjwa unaosababishwa na bacteria anayejulika kama mycobacterium leprae.
Soma Zaidi...