Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu faida za kiafya za mchaichai/lemongrass
Faida za Mchaichai (lemongrass)
? Majani haya hutumika kama mbadala wa majani ya chai. Yana harufu nzuri na rangia ya kuvutia pindi yakitumiwa kama mbadala wa majani ya chai.
1. husaiadia katika kuboresha mfumo wa meng’enyo wa chakula
2. Mchaichai una virutubisho kama vitamini C na A, pia una madini
3. Hutumika kama dawa ya kukosa choo, kujaa kwa gesi na kuvimbiwa
4. Husaidia kutoa sumu mwilini
5. Husaidia katika kudhibiti presha ya damu na kuishusha
6. Husaidia katika kusafisha ini
7. Huboresha afya ya moyo.
8. Husaidia katika uunguzwaji wa fati na mafuta mwilini
9. Huimarisha na kuboresha afya ya ngozi na nywele
10. Husaidia katika kutibu mafua na homa ya mafua
11. Hupunguza maumivu ya chango la kinamama.
?
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Hivi ni vyakula hatari kwa vidonda vya tumbo. mwenye vidonda vya tumbo hatakiwi kula vyakula hivi
Soma Zaidi...Hapa utajifunza kuhusu kazi za protini mwilini na vyakula vipi vina protini kwa wingi
Soma Zaidi...Makala hii inakwenda kukuonyesha faida za kula bamia kwa afya afya
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...