Post hii inakwenda kukutajia baadhi tu ya sababu zinazopelekea kuumwa na tumbo. Hali hizi zinawweza kuwapata watu wa jinsia zote katika umri wowote ule. Ijapokuwa nyingine si kwa wote ni kwa baadhi ya watu. hapa nitakuletea sababu 5 tu.
Swali:
Unaweza kunitajia sababu kama 5 za maumivu ya tumbo?
Jibu:
maumivu ya tumbo yanaweza kuwa hali tata sana ambao sio rahisi kujiwa chanzo bila ya vipimo. hata hivyo kwa dalili unaweza kuhisi sababu ya maumivu haya. kwa mfano wanawake wengi huelewa kama maumivi wanayoyapata ni kwa sababu ya kukaribia ama kuingia kwenye siku zao. Na wapo pia baadhi ya wanaume wanajuwa kwa dalili kuwa anasumbuliwa na ngiri.
Hizi ni baadhi ya sababu za maumivu ya tumbo:
1. Kuwa na aleji huwenda ni ya Vyakula ama matumizi ya dawa
2. Kukosa choo
3. kuwa na vidonda vya tumbo.
4. Hutokea pia utumbo kuziba
5. Maradhi ya Typhod
Sababu nyinginge ni kama:
1. Ngiri
2. Kidole tumbo ama (apendix)
3. tumbo kujaa gesi
4. Shida kwenye baadhi ya viungo vya ndani kama figo na ini.
5. Hernia
Ushauri:
Kama unasumbuliwa na maumivu ya tumbo makali yasiokoma, fika kituo cha afya kwa ajili ya kupata vipimo na matibabu.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Dondakoo ni ugonjwa mbaya unaosababishwa na sumu inayotengenezwa na bakteria. Husababisha mipako nene nyuma ya pua au koo ambayo inafanya kuwa ngumu kupumua au kumeza. Inaweza kuwa mauti.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ya kutotibu maambukizi chini ya kitovu ni madhara ambayo yanaweza kutokea kwa mgonjwa pale ambapo matibabu yanapokuwa hayatolewi kwa mgonjwa wa maumivu chini ya kitovu.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo yanaweza kutokea kama mtu hajatibiwa ugonjwa wa kichaa cha mbwa.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili mbalimbali ambazo Uweza kujitokeza na kuona kwamba ni Dalili za miguu kufa ganzi, pengine utokea kwa watu wote na pengine huwa ni kwa ghafla
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi watu walio kwenye hatari ya kupata UTI, ni watu ambao wako kwenye hatari ya kupata ugonjwa wa UTI kwa sababu ya mazingira mbalimbali kama ifuayavyo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi visababishi vya maambukizi kwenye milija na, ni mambo yanayosababisha maambukizi kwenye milija na ovari.
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na dadili na sababu zinazopelekea Ugonjwa wa ulemavu wa ubongo na mfumo wa fahamu ambao kitaalamu hujulikana Kama multiple sclerosis.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za UTI upande wa wanawake
Soma Zaidi...Fangasi huweza kuishi na kuathiri maeneo mbalimbali ndani ya mwili.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi namna au njia za kuepuka na Ugonjwa huu wa ngiri ambao uleta madhara kwa watoto, vijana na watu wazima, kwa hiyo ili tuweze janga hili ni lazima tufanye yafuatayo.
Soma Zaidi...