Posti hii inahusu zaidi madhara ya ugonjwa wa madonda ya koo usipotibiwa, ugonjwa huu usipotibiwa unaweza sababisha madhara mbalimbali kama ifuayavyo.
Madhara ya madonda ya koo kama yasipotibiwa
1. Maambukizi kwenye figo, hii ni kwa sababu ya kuwepo kwa bakteria ndani ya figo ambao utoka kwenye Koo na kusambaza
2. Maambukizi kwenye mishipa ya damu, kwa sababu ya kuwepo kwa bakteria ndani ya damu wanaotoka kwenye Koo usababisha maambukizi kwenye mishipa ya damu
3.Matatizo wakati wa kupumua, utokea pale mtu anapotaka kupumua hewa utoka kwa shida kwa sababu ya maambukizi kwenye mfumo wa hewa
4. Maambukizi kwenye milango mbalimbali ya fahamu, kwa mfano maambukizi kwenye sikio,
Kwa hiyo tunakuja kuwa Kuna shida mbalimbali madonda yasipotibiwa kwa hiyo tunapaswa kuyatibu mapema na iwezekanavyo.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Some Hili linakwenda kukueleza kuhusu matibabu ya vidonda vya tumbo sugu
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili za kuonyesha kuwa Kuna maambukizi kwenye kitovu hasa hasa chini ya kitovu.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili ambazo mtu anaweza kupata ikiwa Kuna maambukizi kwenye magoti, kwa sababu mbalimbali ambazo usababisha maumivu au maambukizi kwenye magoti Kuna dalili za mwanzo ambazo zinajitokeza kama tutakavyoona hapo chini
Soma Zaidi...Vidonda vya tumbo no tatizo linalotokea baada ya kuta za tumbo au utumbo mdogo kuwa na vidonda,hutokea baada ya ukuta wenye ute unaozuia kemikali za kuyeyusha chakula unaitwa mucus kuharibika. Vidonda vya tumbo (peptic ulcers) imegawanyika katika ma
Soma Zaidi...Minyoo ni katika parasite, yaani ni viumbe wanaokaa kwenye mwili na kujipatia chakula chake humo. Katika miili yetu minyoo huishi na kula kuzaliana na kukuwa. Kama unahitaji kujuwa wapi hasa wanakaa mwilini mwetu, endelea na makala hii
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za UTI upande wa wanaume
Soma Zaidi...Fangasi na Aina zao Fangasi wa kwenye kucha Fangasi wa Mapunye Fangasi aina ya candida Fangasi wa Mdomoni na kooni Fangasi wa kwenye uke Fangasi wanaoshambulia mfumo wa damu na ogran kama moyo, figo n.
Soma Zaidi...Post inahusu zaidi athari za Ugonjwa wa herpes simplex kwa wajawazito au ugonjwa wa vipele kwenye midomo na sehemu za siri.ugonjwa huu uleta madhara kwa wajawazito kama tutakavyoona
Soma Zaidi...Wajawazito wanaposumbuliwa na ugonjwa wa UTI, dalili za UTI na namna ya Kujikinga na UTI
Soma Zaidi...