Post hii inazungumzia mama wajawazito Mara tu mama anapohisi kuwa yeye ni mjamzito anashauriwa kuanza clinic.na clinic hizi zinasaidia kuwapatia wakina mama elimu,namna ya kumkinga Mtoto asipatwe na maradhi Kama UKIMWI. Pia mama anapoanza clinic
DALILI ZA KUKARIBIA KUJIFUNGUWA:
Kuna dalili za hatari kwa mama wajawazito wanapokaribia kujifungu nazoKama
1.Maji kutoka; hii hutokea chupa ikipasuka tu maji huanza kutoka na hii huashiria kuwa mama yupo tayari au au anakaribia kujifungua.
2.Miguu kuvimba
3.maumivu ya kichwa
4.damu kutoka
5.kizunguzungu
Mama mjamzito akiona dalili Kama hizi awahi kituo Cha afya ili aweze kusaidiwa.
Lakini mam mjamzito Kama amefikisha wiki 20 akiwa na mimba ni wakati wa Mtoto huwa anaanza kucheza tumboni kwahiyo kuanzia hizi siku na kuendelea mama mjamzito asiposikia Mtoto anacheza ni vyema kuenda hospitali haraka ili kuhakikishiwa Kwanini Mtoto hachezi tumboni labda ni;
1.amefia tumboni
2.au mama alifanya kazi nzito Sana .mama mama akifanya kazi nzito Mtoto naye anachoka anashindwa kucheza
3.mama kutokula.wakina mama wenye mimba huwa hawapend kula Mara nyingi hukimbilia kula udongo na mapemba na kunywa maji alaf wanalala Mtoto nae anashindwa kucheza lakin Kuna baadhi ya wengine mama akiwa na njaa ndo wanacheza kabisa lakin Mara nyingi hutokea kwa mama Ambao hawali.
4.mam kulala Sana .mama anaweza kulala mda mrefu alaf Mtoto akicheza hasikii Mtoto huwa anacheza mda wowote anaojisikia .
Matibabu
Mama wajawazito wanapokuwa na mimba tu huwa Kuna dawa wanapewa ili kumkinga Mtoto na mam mwenye
1.dawa za kuongeza damu .mam mjamzito huishidamu kwasababu ya kiumbe kilichopo tumboni kwahiyo hupewa dawa za kuongeza damu
2.dawa za kumkinga Mtoto na malaria pamoja na mama mwenyew .lakini wakienda clinic hupewa na chandarua ili kujikinga na malaria.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Maumivu ya tumbo baada ya tendo la ndoa yanaweza kuwa ni dalili ya maradhi fulani, ama shida kwenye mfumo w uzazi. PID na UTI hutuhumiwa kuwa ni katika sababu hizo. Ila zipo nyingine nyingi tu. Kama ina hali hii vyema ukafika kituo cha afya
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu changamoto za ujauzito na dalili zake endelevu
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mambo ya kuangalia kwa mtoto mdogo chini ya umri wa miaka mitano ili kuweza kuweka afya yake kwenye njia safi.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi njia za uzazi wa mpango kwa watu waliopata maambukizi ya Virusi vya Ukimwi.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi sababu za ugumba kwa Mwanaume, ni sababu ambazo umfanye mwanaume ashindwe kumpatia mwanamke mimba.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi upungufu wa homoni ya estrogen na dalili zake, aina hii ya homoni ikipungua mwilini uleta madhara na matatizo mbalimbali kwenye mwili.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mda ambao mama anapaswa kukaa bila kufanya tendo la ndoa mara tu baada ya kujifungua.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu za mtoto kuzaliwa akiwa na miezi Saba na nane kwa kawaida mtoto wa hivi anakuwa hajafikisha mda wake kwa hiyo uzaliwa akiwa na miezi saba na nane, kwa hiyo kuna sababu mbalimbali kama tutakavyoona
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mambo anyopaswa kujua akiwa mjamzito. Ni mambo muhimu ya kuzingatia kwa mama akiwa mjamzito.
Soma Zaidi...