picha
DALILILI ZA POLIO

Polio ni ugonjwa wa virusi unaoambukiza ambao katika hali mbaya zaidi husababisha kupooza, kupumua kwa shida...

picha
MAFUNZO YA DATABASE KWA KUTUMIA MYSQL DATABASE KWA KISWAHILI SOMO LA 4

Huu ni mwendelezo wa mafunzo ya database kwa kutumia MySQL na hili ni somo la nne katika mlolongo wa masomo...

picha
DALILILI ZA PEPOPUNDA

postii hii inshusiana na dalili na matatizo ya pepopunda. Pepopunda ni ugonjwa hatari wa kutishia maisha unaosababishwa na...

picha
KUMSAIDIA MTU ALIYEINGIWA NA UCHAFU AU KITU CHOCHOTE MACHONI

Posti hii inahusu hasa jinsi uchafu, wadudu na vitu vingine vinavyoweza kuingia machoni.macho ni mojawapo ya milango mitano ya fahamu...

picha
HUDUMA YA KWANZA KWA MTU ALIYENG,AREA NA WADUDU

Posti hii inahusu zaidi huduma ya kwanza kwa mtu aliyengatwa na wadudu. Wadudu ni viumbe vidogo ambavyo hukaa sehemu mbalimbali...

picha
NAMNA YA KUMHUDUMIA MTU ALIYEINGONGWA NA NYOKA

Posti hii inahusu njia na namna ya kumhudumia aliyeingiwa na nyoka. Nyoka ni kiumbe ambacho Kina sumu kali na mtu...

picha
HUDUMA YA KWANZA KWA MTU ALIYEINGIWA NA UCHAFU SIKIONI

Post hii inahusu huduma ya kwanza kwa mtu aliyeingiwa na uchafu au kitu chochote sikioni. Sikio ni mojawapo...

picha
MATATIZO YA UNENE KWA WATOTO (CHILDHOOD OBESITY)

post Ina onyesha madhara na matatizo ya Unene Utoto ni hali mbaya ya kiafya inayoathiri watoto...

picha
HUDUMA YA KWANZA KWA MGONJWA ALIYEPATA AJALI YA KICHWA

Ajali ya kichwa na ajali inayotolewa kwenye sehemu mbalimbali za kichwa, ambavyo husababishwa madhara kwa aliyepata ajali hiyo

picha
DALILI ZA SELIMUDU

Posti hii inazungumzia ishara na dalili za SELIMUDU ambao kitaalamu huitwa Sickle cell Anemia.selimudu ni aina ya kurithi ya Anemia — hali ambayo hakuna...

picha
ISHARA NA DALILILI ZA MTOTO MWENYE KUHARA

postii hii inazungumzia dalilili za Mtoto mwenye Kuhara. Kuhara maana yake ni kutokwa na kinyesi chenye maji matatu...

picha
MAMBO YA KUZINGATIA UNAPOKUWA UNATOA HUDUMA YA KWANZA

Huduma ya kwanza ni huduma inayotolewa kwa mtu yeyote aliyepata ajali au mgonjwa yeyote kabla hajapelekwa hospitalini

picha
NAMNA YA KUTOA HUDUMA YA KWANZA

Huduma ya kwanza ni huduma anayopewa mgonjwa au mtu yeyote aliyepata ajali kabla ya kumpeleka hospitalini

picha
ZIJUE DALILI ZA MAAMBUKIZI NDANI YA SIKIO NA MADHARA YAKE

Sikio ni mojawapo ya milango ya fahamu inayotumiwa kwa ajili ya kusikia, Kuna wakati mwingine hushambulia na bakteria na virusi

picha
UGONJWA WA DEGEDEGE NA DALILI ZAKE

Ugonjwa wa degedege ni ugonjwa unaowapata sana watoto chini ya miaka mitano ingawa na watu wazima wanapatwa na ugonjwa huo

picha
MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA UPASUAJI,

Upasuaji ni kundi la ki medical linalohusu kutoa kiungo kisichohitajika kwenye mwili.

picha
UGONJWA WA KUHARISHA NA SABABU ZAKE.

Kuharisha ni Hali ya kupitisha kinyesi Cha maji chenye damu au kisicho na damu

picha
JIFUNZE KUHUSU MSUKUMO WA DAMU KWA KITAALAMU HUITWA PRESSURE

Kupanda kwa msukumo wa damu ni ktendo ambapo moyo husukuma damu kwa nguvu kuliko kawaida ambapo hupelekea matatizo mengi kwenye...

picha
UJUWEVMV UGONJWA NIMONIA NA DALILI ZAKE

Nimonia ni Hali ya kuvimba pafu inayoathiri hasa vifuko vya hewa viitwavyo Alveoli, husababishwa na Maambukizi ya virusi

picha
VIJUWE VIDONDA VYA TUMBO NA MADHARA YAKE.

Madonda ya tumbo ni ugonjwa unaotokana na kuwepo kwa vidonda kwenye Koo, tumboni na kwenye utumbo mdogo

picha
MAFUNZO YA DATABASE MYSQL SOMO LA 3

Huu ni mwendelezo wa mafunzo ya database na jinsi ya kutengeneza bloga na website na hili ni somo la tatu....

picha
SABABU ZA MTU KUWA NA MFADHAIKO AU WASIWASI

Post hii inahusu sababu za mtu kuwa na mfadhaiko na wasiwasi, mfadhaiko ni nguvu fulani anayoisikia ndani mwake kwa sababu...

picha
SARATANI YA MATITI YA WANAUME.

Posti hii inazungumzia kuhusiana na Saratani ya matiti ya Mwanaume ni Saratani nadra ambayo hutokea katika tishu za matiti za...

picha
POST HII INAHUSU ZAIDI UMUHIMU WA KONDO LA NYUMA

Kondo la nyuma ni sehemu ya mwili wa mama anapokuwa mjamziti,kondo la nyuma husaidia katika kazi mbalimbali katika ukuaji wa...

Page 195 of 228

Kuhusu Bongoclass

image

Bongoclass ni jukwaa la Kitanzania lenye lengo la kushirikisha maarifa na akili ili kukuza uwezo wa watu binafsi na jamii kwa ujumla. Kupitia tovuti yetu, programu ya simu, na mitandao ya kijamii, Bongoclass hutoa maudhui ya elimu bure kwa Kiswahili katika maeneo mbalimbali kama afya, burudani, na masomo ya shule. Jukwaa hili linajikita katika kutoa fursa za kujifunza, kushirikiana, na kukuza uchumi kwa kuzingatia muktadha wa kitamaduni na lugha ya Kiswahili.