Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa kuharisha, kuharisha ni kitendo Cha kupitisha kinyesi Cha maji chenye damu au kisichokuwa na damu
Mambo yanayosababisha kuharisha
1. Virusi ambavyo umuingia mtu kwa njia tofauti
2. Bakteria ambao uungia ndana ya mwili wa mtu
3.parasite wanaoingia kwenye utumbo
4.utumbo mdogo kushindwa kusambaza chakula kwenye mwili
5. Kubadilika kwa homoni mwilini mfano,sukari
6. Ugonjwa wa Kansa, hasa wale wenye Kansa ya tumbo
7. Maambukizi kwenye tumbo.
Baada ya kujua mambo yanayosababisha kuharisha inabidi kuchukua hatua kama ifuayavyo
- kuosha mikono baada ya kutoka chooni
- kuosha mikono kabla ya kuandaa chakula
- kufanya vipimo mara kwa mara Ili kujua maendeleo ya afya yako
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za VVU/ UKIMWI
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi namna ya kuwahudumia wenye Maambukizi kwenye mifupa, ni njia ambazo zinaweza kutumika ili kuweza kuwasaidia wenye Maambukizi kwenye mifupa.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ya Tiba homoni, ni madhara- ambayo utokea kwa mgonjwa anayetumia homoni kama Tiba kwenye kutibu saratani.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi Ugonjwa wa ukoma ni Ugonjwa unaosababishwa na bacteria anayejulika kama mycobacterium leprae.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya fikra potofu kuhusu vidonda vya tumbo
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na dalili na Sababu za Homa ya manjano ya watoto wachanga ni kubadilika rangi kwa manjano katika ngozi na macho ya mtoto mchanga. Homa ya manjano ya mtoto hutokea kwa sababu damu ya mtoto ina ziada ya rangi ya
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi Maambukizi kwenye mifupa ambayo kwa kitaalamu huitwa Osteomyelitis, ugonjwa huu uaribu zaidi kwenye mifupa na sehemu nyingine ambazo zinakaribia kwenye mifupa
Soma Zaidi...