Ijuwe swala ya Tawbah na jinsi ya kuiswali

Post hii itakufundisha kuhusu swala ya sinnah ya tawba.

 

10. Swalatut-Tawbah

Swalatut-Tawbah ni swala va kutubia.Muislamu akitclcza na kuritkosea Mola wake au bina tdainu mwenzake au akidhulumu naisi yake, hana budi kutubu upesi iwezekanavvo. Kutubu maana yake ni kujutia kosa ulilolifanya, kuku.na moja kwa moja kufanya kosa kilo. kuahidi kwa dhati moyoni kutorudia kosa hilo na kuomba msamaha kwa Allah kama umemkosea Yeve moja kwa moja. Kama umemkosea binaadamu kwanza muombe msamaha yeye mwenyewe kama inawezekana, kisha muombe Mwenyezi Mungu msamaha. Kama haiwezekani kumuomba msamaha huyo uliyemkosea, muombe msamaha Mwenyezi Mungu.

 


Njia nzuri ya kutubia ni kuswali rakaa mbili kisha kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu kama tunavyojifunza katika Hadithi ifuatavo:
Abu Bakar ir.al amesimulia kuwa Mtutne (s.a.w) amesema:

 


“Na ambao wanapofanya uchafu au kudhulumu nafsi zao humkumbuka Mwenyezi Mungu na kumuomba msamaha kwa dhambi zao. Na nani anayeghufiria dhambi isipokuwa Mw enyezi Mungu? Na haw aendelei na (maovu) waliyoyafanya, hali wanajua (kuwa hayo ni maovu). (3:135-136)

 

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Fiqh Main: Dini File: Download PDF Views 1172

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉2 Bongolite - Game zone - Play free game    👉3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina    👉4 Madrasa kiganjani    👉5 Kitabu cha Afya    👉6 kitabu cha Simulizi   

Post zinazofanana: