Post hii inahusu zaidi ugonjwa wa kuharisha, kuharisha ni kitendo Cha kupitia kinyesi chenye maji inawezekana kina damu au kisichokuwa na damu.
Dalili anapokuwa nazo mtu anayeharisha
I.Tumbo kuchomachoma kwa mgonjwa anayeharisha
2. Tumbo kuuma sana hasa kwa upande wa chini
3. Kwenda chooni mara kwa mara
4. Kusikia kichefuchefu kwa mgonjwa anayeharisha
5. Kutapika kwa mgonjwa anayeharisha
6. Pengine kuwa na usaha kwenye kinyesi
7. Kuwa na damu kwenye kinyesi
8. Kiasai Cha mkojo kupungua au kutokuwepo
9. Mgonjwa hatulii anaangaika kwa sababu ya maumivu.
10. Homa kupanda zaidi ya 38
Baada ya kusikia dalili kama hizi mgonjwa apaswa kupeleka hospital kwaajili ya matibabu zaidi,na dawa zipo hospitalini na ugonjwa huu unatibika.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
HOMA YA DENGUEHoma ya dengue ni miongoni mwa maradhi hatari ambayo husambazwa na mbu.
Soma Zaidi...Swali hili limeulizwa na mdau mmoja. Kuwa endapo mtu atafanya ngono zembe na akapata virusi je ataweza kuambukiza.
Soma Zaidi...Zijuwe dalili kuu 7 za vidonda vya tumbo, kama kiungulia, tumbo kujaa, maumivu ya umbo..
Soma Zaidi...Uvumilivu wa pombe unaweza kusababisha athari za haraka, zisizofurahi baada ya kunywa pombe. Ishara na dalili za kawaida za kutovumilia kwa pombe ni pua iliyojaa na Kuvuta ngozi. Uvumilivu wa pombe husababishwa na hali ya maumbile ambayo mwili hauwezi k
Soma Zaidi...Utajifunza chanzo cha vidonda vya tumbo, dalili zake, dawa na matibabu yake pamoja na njia za kujilinda na vidonda vya tumbo
Soma Zaidi...posti hii inazungumzia kuhusiana na matatizo ya mapigo ya moyo.Mapigo ya moyo ni hisia za kuwa na moyo wa haraka, unaodunda. Mapigo ya moyo yanaweza kuchochewa na mafadhaiko, mazoezi, dawa au, mara chache, hali ya kiafya. Ingawa mapigo ya moyo yanaweza k
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za maumivu ya tumbo chini upande wa kushoto
Soma Zaidi...Kuvunjika kwa nyonga ni jeraha kubwa, na matatizo ambayo yanaweza kuhatarisha maisha. Hatari ya kupasuka kwa nyonga huongezeka na umri.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi namna ya kuangalia sehemu yenye maumivu, hili kugundua mahali mtu anaumia ushirikiano mkubwa unahitajika kati ya mgonjwa na mhudumu.
Soma Zaidi...