Post hii inahusu zaidi dalili za mtu aliyegongwa na nyoka, nyoka ni kiumbe ambacho Kina sumu kali na sumu ikiingia mwilini mtu huwa na dalili mbalimbali
Dalili za mtu aliyegongwa na nyoka
1. Maumivu yanayochoma kwa ndani kabisa
2. Maumivu makali, wekundu kwenye mwili na kuvimba sehemu ambapo nyoka ameuma
3. Mtu hupata kichefuchefu na kitapika kwa sababu ya kuwepo kwa sumu kali
4. Mtu hupata shida katika kuona
5. Mate yanakuwa mengi mdomoni na pengine mtu anakuwa na joto mwilini
6. Pengine matatizo ya kupumua kwa shida hutokea kwa aliyepata shida ya kungatwa na nyoka
7. Mapigo ya moyo hushuka
8. Kizunguzungu hutokea kwa aliyepata na shida kama hiyo
9. Pengine degedege inaweza kutokea
Baada ya kuona dalili kama hizi mgonjwa inabidi apewa huduma ya kwanza na apelekwe hospitali mara moja Ili kuepuka madhara mbalimbali
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Je umeshawaho kujiuliza maswali mengi kihusu fangasi?. Huyu hapa ni mmoja katika waulizaji waliopata kuuliza rundo la maswali haya. Soma post hii kuona nini ameuliza
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za vidonda vya tumbo sugu
Soma Zaidi...Presha ya kushuka ama kitaalamu huitwa hypotension, presha ya kushuka ni hatari kwa afya kama ilivyo presha ya kupanda, maana mwili unakosa nguvu kabisa.
Soma Zaidi...Pata elimu juu ya afya hapa ukiwa na vitabu vyetu bila ya malipo yoyote
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi maambukizi kwenye epididimisi, ni maambukizi ambayo hutokea kwenye epididimisi na kusababisha matatizo mengi.
Soma Zaidi...Upasuaji ni kundi la ki medical linalohusu kutoa kiungo kisichohitajika kwenye mwili.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa ukoma, ni Ugonjwa unaosababishwa na mdudu anayeitwa mycobacterium leprae, mdudu huyu kwa kawaida uathiri sana sehemu za ngozi na sehemu za Neva mbalimbali za mwili
Soma Zaidi...Kisonono husababishwa na bakteria. Bakteria ya kisonono mara nyingi hupitishwa kutoka kwa mtu mmoja hadi mwingine wakati wa kujamiiana, ikiwa ni pamoja na kujamiiana kwa mdomo, mkundu au uke.
Soma Zaidi...FIKRA POTOFY KUHUSU VIDONDA VYA TUMBO Vidonda vya tumbo huja na maoni mengi potofu.
Soma Zaidi...