Kushambuliwa kwa moyo na kupumua ni kitendo Cha moyo kusimama ghafla, Hali hii unapaswa kutolewa huduma ya kwanza Ili moyo ufanye kazi tena,
Njia za kuamsha moyo uliosimama
1. Kwanza angalia usalama wa mtu na mazingira yake
2.angalia kama mtu anaweza kuhisi maumivu, kuona ishara yoyote au kuamka
3.analia upumuaji wa mgonjwa na msukumo wa damu
4.angalia upumuaji kama haupo chukua mikono yako weka juu ya kifua Cha mgonjwa, gandamiza na kutoa mikono mara thelathini. Ukifikisha mara thelathini unampatia hewa mara mbili, endelea hivyo mara Tano mfululizo ukigandamiza mara thelathini na hewa mara mbili
5, ukifikisha mara Tano angalia kama msukumo wa damu umerudi kawaida
6. Endelea kumpatia hewa baadae kama ameweza kupumua vizuri, pima msukumo wa damu
7. Kama mgonjwa ataweza kupumua mpelekee hospitalini kwa matibabu zaidi
Angalia huduma ya kwanza kwa aliyezimia bofya hapa
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Mtoto mdogo ni mtoto chini ya miaka mitano, yaan kuanzia pale anapozaliwa mpaka anapafikisha miaka mitano
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyeng'atwa na nyuko
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya njia za kuongeza nguvu za kiume
Soma Zaidi...Kungโatwa na nyuki kunaweza kukahitaji huduma ya kwanza kwa haraka kama mgonjwa ana aleji na nyuki.
Soma Zaidi...Post hii inahusu umuhimu wa kupima virus vya ukimwi kwa mama wajawazito na wanaonyonyesha. Ni hatua ya kupima Mama akiwa mjamzito na wakati wa kunyonyesha ili kuepuka hatari ya kumwambikiza mtoto
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukujulisha njia za kushusha presha iliyopanda.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi hasara za magonjwa ya ngono, ni magonjwa yanayoambukizwa kwa kujamiiana bila kutumia kinga.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea mambo ambayo hayawezi kuambukiza UKIMWI
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi njia za kuenea kwa ugonjwa wa Ukimwi. Ukimwi ni upungufu wa kinga mwilini.
Soma Zaidi...