Vyakula vya kusaidia katika matibabu ya kiungulia

PoPosti hii inahusu zaidi vyakula ambavyo unaweza kutumia iwapo umepata tatizo la kiungulia

Vyakula vya kutumia iwapo umepata tatizo la kiungulia.

1. Matumizi ya tangawizi.

Kwa sababu tangawizi zina vitamin A,C,E,B madini ya chuma, madini ya zink magnesium, phosphorus,calcium, beta carotene hivyo utumika kutibu tatizo hili la gasi tumboni na kiungulia.

 

 

 

2. Juice ya mshubiri.

Kwa kitaalamu juisi hii huitwa (Aloevena) utibu. Vidonda vya tumbo na kiungulia na pia usaia katika mmeng'enyo wa chakula.

 

 

 

3. Kitunguu swaumu.

Ukichanganywa na asali usaidia sana katika mfumo wa mmeng'enyo wa chakula.

 

 

4. Siki ya Tufaha.

Kwa kitaalamu huitwa apple vinegar unatumia vijiko viwili kwa siku nayo usaidia sana kwa kutibu kiungulia na usaidia kwenye mmeng'enyo wa chakula.

 Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/07/14/Thursday - 07:18:05 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1382


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 kitabu cha Simulizi     👉3 Kitau cha Fiqh     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-