Post hii Inahusu zaidi dawa za kutibu maambukizi yoyote Yale yanayosababishwa na bakteria dawa hizi kwa kitaamu huiitwa antibiotics Kuna dawa mbalimbali zinazotibu maambukizi ya bakteria leo tutaanza na dawa ambayo inaitwa penicillin.
1. Kama tulivyoona hapo mwanzoni kwamba tunaenda kujua dawa aina ya penicillin, hii dawa utumika katika matibabu mbalimbali ya maambukizi ya bakteria kama vile matibabu ya nimonia,kutibu maambukizi kwenye kibofu cha mkojo na maambukizi mbalimbali yanayosababishwa na bakteria, lakini dawa hii imegawanyika katika makundi makuu manne , kwa hiyo tunaenda kujua kundi Moja baada ya jingine.
2. Kundi la kwanza la penicillin ni kundi ambalo ufanya kazi kwa mda mrefu yaaani dawaa hizi zibapoingia mwilini ukaa kwa mda mrefu na pia ufanya kazi kwa mda mrefu, dawa hizi huwa hivyo kwa sababu ya aina ya bakteria ambao upambana nao, dawa hizo kwa kitaamu huiitwa long acting antibiotics mfano wa dawa hizo ni procaine benzyl - penicillin ( crystalline penicillin=crystapen).
3. Kundi la pili la penicillin ni dawa za penicillin ambazo upambana na bakteria ambao utoa asidi Ili kuweza kuzuia dawa zisieweze kufanya kazi kundi hili kwa kitaamu huiitwa acid resistance penicillin, ikiwa dawa nyingine zimetumika ambazo hazina sifa ushindwa kufanya kazi kwa sababu ya saidi ambayo utolewa na aina hii ya bakteria,dawa zenyewe za kuzuia asidi ya bakteria ni phenoxy-methyl penicillin.
4. Kundi la tatu la penicillin ni kundi la dawa ambalo utengenezwa Ili kupambana na bakteria wale ambao uzalisha enzymes Ili kuweza kuzuia kazi ya dawa, kwa hiyo dawa hizi zikitumiwa uweza kupambana na bakteria hao igawa wametoa hizo enzymes,ila kama aina nyingine ya penicillin imetumika ambayo Haina sifa hizo kupona kwa mgonjwa ni vigumu, dawa hizo ni cloxacillin (orbenini). Kundi hili kwa kitaamu huiitwa penicillin resistance penicillase.
5. Kundi la nne la penicillin ni kundi ambalo ufanya Kazi kama lile kundi la penicillin resistance penicillase, ila dawa ni tofauti , kundi hili kwa kitaamu huiitwa broad spectrum penicillin, kwa hiyo kundi hili uzuia bakteria ambao utoa kemikali kwa dawa zinazokuja kutibu maambukizi ya bakteria, dawa hizo ni ampicillin ( penbritin).
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Somo Hili linakwenda kukuletea dawa za kutibu ugonjwa wa macho
Soma Zaidi...PoPosti hii inahusu zaidi vyakula ambavyo unaweza kutumia iwapo umepata tatizo la kiungulia
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dawa za fangasi na matumizi yake kwa kutumia dawa ya fluconazole kama dawa mojawapo ya fangasi.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi madhara ya Tiba mionzi kwa wagonjwa wa saratani, ni madhara yanayotokea kwa wagonjwa wanaotumia mionzi katika matibabu ya saratani.
Soma Zaidi...Utaijuwa Dawa ya maumivu ya jino, sababu za maumivu ya jino na njia za kujikinga na maumivu ya jino
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dawa ya lsoniazid nA kazi zake, ni dawa ambayo inasaidia kutibu kifua kikuu kati ya madawa yaliyoteuliwa na kuwa na sifa ya kutibu kifua kikuu.
Soma Zaidi...Zijuwe aina za minyoo na tiba yake. Dawa 5 za kutibu minyoo ya aina zote
Soma Zaidi...Fahamu dawa ya back bone pain kwa matibabu ya mgongo, ni mojawapo ya dawa ambayo imependekezwa kutuliza maumivu ya mgongo.
Soma Zaidi...