Huduma ya kwanza kwa mtu aliyekula sumu
Post hii inahusu zaidi kutoa huduma ya kwanza kwa mtu aliyekula chakula chenye sumu, kula sumu ni kitendo Cha kula kitu chochote kama dawa,pombe, kemikali na chakula kichafu.
Aina za vyakula vinavyoweza kuwa na sumu
-madawa
-pombe
_ mimea
_ meno ya nyoka au wadudu
_ Moshi kutoka kwenye moto
_ gasi ya carbon
Huduma ya kwanza kwa mtu aliyekula sumu
1. Mpatie mgonjwa mkaa kama mtu hajazimia
2. Msaidie mgonjwa Ili atapike
3.usimladhimishe kitapika kama amezimia
4 .kama ametapika weka tunza kiasi kidogo Cha matapishi Ili kugundua Aina ya sumu
5. Pima mapigo ya moyo, msukumo wa damu, joto la mwili na upumuaji
6.angalia kwenye mazingira labda mnaweza kuona kopo au sumu aliyoitumia .
7. Mpeleke mgonjwa hospitalini kwa msaada zaidi
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 web hosting 👉2 Bongolite - Game zone - Play free game 👉3 Madrasa kiganjani 👉4 ai web app 👉5 kitabu cha Simulizi 👉6 Dua za Mitume na Manabii
Post zinazofanana:
Umuhimu wa kupumzika kiafya
Posti hii inahusu zaidi umuhimu wa kupumzika kiafya, kwa kawaida mwili na viungo vingine vya mwili uweza kufanya kazi zaidi pale mtu akiwa amepumzika.
Soma Zaidi...Imani potofu juu ya chanjo.
Post hii inahusu zaidi Imani potofu juu ya chanjo kwa watoto na akina Mama, ni baadhi ya Imani waliyonayo watu juu ya chanjo.
Soma Zaidi...fahamu kuhusu vitamini B na faida zake
makala hii inakwenda kukupa faida, kazi na athari za vitamini B mwilini. Nini hutokea endapo utakuwa na upungufu wa vitamini B mwilini?
Soma Zaidi...Nini husababisha kizunguzungu?
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Mambo mbalimbali ambayo husababisha kizunguzungu.
Soma Zaidi...Huduma ya kwanza kwa mwenye jeraha linalotoa damu
Posti inahusu huduma ya kwanza kwa mwenye jeraha linalotoa damu.huduma ya kwanza Ni kumsaidia mtu alie pata jeraha au ajali kabla hajamwona dactari au kufika hospitalinia.
Soma Zaidi...