Post hii inahusu namna ya kutoa huduma ya kwanza kwa mtu aliyeungua moto, kuingia moto ni kitendo Cha kubabuka ngozi ya juu inaweza kuwa kwa kemikali,umeme na just,
Huduma ya kwanza kwa aliyeungua moto
1. Zuia kitendo Cha kuungua kwa kumtoa mgonjwa katika chanzo Cha kuungua inawezekana kutoka katika umeme, kumtoa katika kemikali na mengineyo
2.poza sehemu iliyoungua, mpoze mgonjwa kwa maji lakini isizidi dakika Kumi Ili kuepuka joto la mwili kushuka
3. Mfunike mgonjwa, unaweza kumfunika kwa blanketi na shuka Safi Ili kuzuia uchafu kuingia kwenye sehemu iliyoungua,
4.angalia kama mgonjwa anapumua vizuri,damu kama inatembea vizuri pia angalia kama maji yamepotea mengi
5. Kama mgonjwa anasikia maumivu unaweza kumoatia dawa za kupunguza maumivu kama vile Panadol
6. Angalia kiasi Cha kuungua kikoje na kama kwenye ngozi Kuna majimaji usitoboe kitu chocho
7. Mpeleke mgonjwa hospitalini kwa matibabu zaidi
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi sababu za kuwepo kwa vidonda, kwa sababu tunaona vidonda vinashambulia sehemu mbalimbali za mwili ila tunakuwa hatuna sababu kwa hiyo zifuatazo ni sababu za kuwepo kwa vidonda.
Soma Zaidi...Katika vyakula tunaposema wanga tunamaanisha virutubisho ambavyo hupatikana kwenye vyakula. Hivi husaidia sana katika kuifanya miili yetu iwe na nguvu.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu baadhi ya njia za kuongeza nguvu za kiume
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu huduma ya Kwanza kwa mtu aliyepatwa na presha ya kupanda
Soma Zaidi...Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ya kuyatunza macho
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi dalili za kuwepo kwa kizungu Zungu,ni Dalili ambazo Uweza kujionyesha kwa mtu ambaye ameshawahi kupatwa na tatizo la kizungu Zungu au hajawahi kupata dalili zenyewe ni kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu madhara ya upungufu wa vitamin
Soma Zaidi...Tunahitaji kuwa na protini mwilini. Kuna baadhi ya makundi ya watu wanahitaji protini zaidi. Je unawajuwa hao ni kina nana?, na je unauwa kazi za protini mwilini na athari za upungufu wake? endelea na makala hii.
Soma Zaidi...