Posti hii inahusu zaidi viwango vitatu vya kuungua. Ili tuweze kujua mtu ameunguaje Kuna viwango vitatu vya kujua kiasi na namna mtu alivyoungua
Viwango vitatu vya kuungua
1.Kuungua sehemu ya juu ya mwili
Hii ni pale mtu anapoungua juu ya ngozi bila kuaribika kwa mishipa ya damu na neva
Dalili zake
.mwili kuwa mwekundu
. Maumivu
,.sehemu ya juu inayofunika mwili nayo uungua
2. Kuungua kwa kuingia ndani ya nyama
Kuungua Huku hutokea wakati sehemu ya kwanza inayofunika mwili kuungua na sehemu ya pili pia uungua.
Dalili zake
. Maumivu makali
. Kuvimba kunakoambatana na maji kwa kitaalamu huitwa ( brister )
3. Kuungua sehemu ya ndani kabisa ya mwili ambapo Neva na mishipa inayosafilisha damu uungua.
Dalili zake
.Hakuna maumivu yoyote kwa sababu Neva zimepungua
. Sehemu zote tatu za mwili uungua
.Neva na mishipa inayosafilisha damu uungua.
Kwa hiyo tujue kwamba mtu akiungua ameunguaje na tuone namna ya kumsaidia.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu madhara ya upungufu wa vitamin
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi ratiba ya chanjo ya kuzuia Nimonia, hii ni chanjo inayozuia hasa hasa Magonjwa ya mfumo wa hewa kwa hiyo nayo upewa watoto wenye umri chini ya miaka mitano.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi rangi isiyo ya kawaida kwenye mkojo, kawaida mkojo huwa na rangi ya kahawia Ila ukiona rangi zifuatazo Kuna shida kwenye mkojo.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu madhara ya upungufu wa vyakula
Soma Zaidi...Hii posti inahusu zaidi sifa za mkojo usio wa kawaida,ukiona mkojo wa namna hii unapaswa kwenda hospitalini kwa matibabu au vipimo vya zaidi.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi Aina ya mkojo usiokuwaa wa kawaida uwa na vitu vifuatavyo, ukiona dalili kama hizo wahi mapema hospitalini Ili upatiwe huduma.
Soma Zaidi...Vipi utamsaidia mti ambaye amepaliwa na maji? Post hii itakwenda kukifundisha jambo hili.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu kazi ya chanjo ya kifua kikuu kwa kitaalamu huitwa BCG. Ni chanjo ambayo uzuia kifua kikuu na ukoma.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu sana mambo ya huduma ya kwanza ambayo huduma ya kwanza inapatikana au inatolewa na mtu yeyote katika jamii .
Soma Zaidi...Posti hii inahusu mambo yanayochangia katika kupona kwa kidonda, ni mambo ambayo yapo kwa mgonjwa mwenyewe kama ifuayavyo.
Soma Zaidi...